mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Wadau naomba kuhuliza leo nimebet mkeka wa timu kumi,timu tisa zimetiki alafu timu ya kumi mechi imeharishwa kwenye malipo hapa itakuwaje??
Hii comment yako inaonyesha hukuangalia mpira tangu unaanza!Bila kujali uwezo wao kwa sasa, hata bookies hawakuweza kuwaamini Leicester direct kwa game ya leo mpaka halftime shot on target ni 2 kwa 1, kwa kasi kubwa game ilikuwa inaenda kuwa draw, ila mambo yakabadilika na ndio mpira ulivyo. Tumsubiri Barca...
Hata 1xbet wana hiyo system, tena kule michezo yote basketball, hockey nkKuna WEBSITE Inaitwa h2hsat.net Niliigundua Juzi Wakat Nafanya Utafiti Wa ODDS Za Over 6.5
So Nikakutana Na Kipart Ambacho kinakutengenezea mkeka kwa Prediction za mechi zao bure Tu Yaani kama Calculator, Unasema Unataka ODDS Zipi Then Total ODDS Ngap, Tangu Juzi Naona Mikeka Wanayotengeneza Ina make Sense Kila Nikifuatilia Result, Mfano Huu Wa Leo Wa ODDS 180 Mechi Moja Tu Ndio Imegoma Kama Sikosei Wale Wavivu Wenzangu Piteni Na Humo, Na Tangu Juzi Habari Ndio Hiyo, mechi Moja Hadi Tu.
SCREENSHOT HIZI HAPA
View attachment 1258982
View attachment 1258983
Unalipwa odds kutoka kwa hizo game tisaWadau naomba kuhuliza leo nimebet mkeka wa timu kumi,timu tisa zimetiki alafu timu ya kumi mechi imeharishwa kwenye malipo hapa itakuwaje??
Subir masaa 24 au saa ingine 12 tu wameshapata info za hiyo mechi, isipochezwa, zile odds zitapunguzwa sawa na za hiyo mechi hlf zitazidshwa na stake yako hlf utaenda kwa Wakala!Wadau naomba kuhuliza leo nimebet mkeka wa timu kumi,timu tisa zimetiki alafu timu ya kumi mechi imeharishwa kwenye malipo hapa itakuwaje??
Bet wonInplay 50/50View attachment 1258991
Leo nimejifunza kutokudharau option ya mtu kwenye kubet, leo kwenye mechi ya chelsea na crystal palace kuna mdau kaweka sub ifanyike kipindi cha kwanza tukawa tuna mnanga kuwa amepoteza hela yake bure, tunakuja kushangaa crystal palace wanafanya sub half time.Biashara haikuwa rahisi, vipi kama draw ingepatikana ungeweza kuniquote? Odds ziliongea Arsenal wabovu, lakini Leicester hakuaminiwa moja kwa moja. DC kwangu ilikuwa ni best bet kwa game hii, harufu ya draw ilikuwa inanukia mwisho dk 90 zimeamua, hongera kwa ushindi.
Mkuu msaada wa mtaji kaka 10k tuThis is a Business, ukitaka kutafuta pesa acha mihemuko. Nalala na 3M profit. Usiku mwema
Sportpesa wanakulipa hizo 9 moja wanaitoa,sijui kwingine wanafanyaje...iliwahi kunitokea wakafanya hivyoWadau naomba kuhuliza leo nimebet mkeka wa timu kumi,timu tisa zimetiki alafu timu ya kumi mechi imeharishwa kwenye malipo hapa itakuwaje??
😝😝😝😝 haijui Leicester huyoMkuu nakusalimia, kwema lakini
Mkuu ukitaka kuwa unapishana gari la mshahara weekend basi mfanye Meridianbet awe ndio chaguo la kwanza kwa makampuni
Mtakuja KuolewaMkuu msaada wa mtaji kaka 10k tu
1xbet Hawana Option Kama Za Huku Bro, Huku Unachagua Odds Wewe Unasema Nataka Za Kuanzia 1.2 Hadi 1.8 Na Kuendelea Na Total Iwe Mfano: 120 Odds System Inaangalia Kwenye Mechi Walizotabir Wao Wanakupa Unachagua Mwenyewe Kama Unataka Mchanganyiko Wa Michezo Yote Au Football Tu Na Unachagua Mechi Za Leo Tu Au Za Siku Zijazo.Hata 1xbet wana hiyo system, tena kule michezo yote basketball, hockey nk