Kuna WEBSITE Inaitwa h2hsat.net Niliigundua Juzi Wakat Nafanya Utafiti Wa ODDS Za Over 6.5
So Nikakutana Na Kipart Ambacho kinakutengenezea mkeka kwa Prediction za mechi zao bure Tu Yaani kama Calculator, Unasema Unataka ODDS Zipi Then Total ODDS Ngap, Tangu Juzi Naona Mikeka Wanayotengeneza Ina make Sense Kila Nikifuatilia Result, Mfano Huu Wa Leo Wa ODDS 180 Mechi Moja Tu Ndio Imegoma Kama Sikosei Wale Wavivu Wenzangu Piteni Na Humo, Na Tangu Juzi Habari Ndio Hiyo, mechi Moja Hadi Tu.
SCREENSHOT HIZI HAPA
View attachment 1258982
View attachment 1258983
1xbet Hawana Option Kama Za Huku Bro, Huku Unachagua Odds Wewe Unasema Nataka Za Kuanzia 1.2 Hadi 1.8 Na Kuendelea Na Total Iwe Mfano: 120 Odds System Inaangalia Kwenye Mechi Walizotabir Wao Wanakupa Unachagua Mwenyewe Kama Unataka Mchanganyiko Wa Michezo Yote Au Football Tu Na Unachagua Mechi Za Leo Tu Au Za Siku Zijazo.
Naijua 1xbet Nina AC Kule Na Bet365 Tangu 2015 So Ninachokwambia Hii Site Haiko Sawa Kabisa Na 1xbet Kwenye Ku Generate Ticket.
Na Huku Hakuna Games Kubwa.
Kuna WEBSITE Inaitwa h2hsat.net Niliigundua Juzi Wakat Nafanya Utafiti Wa ODDS Za Over 6.5
So Nikakutana Na Kipart Ambacho kinakutengenezea mkeka kwa Prediction za mechi zao bure Tu Yaani kama Calculator, Unasema Unataka ODDS Zipi Then Total ODDS Ngap, Tangu Juzi Naona Mikeka Wanayotengeneza Ina make Sense Kila Nikifuatilia Result, Mfano Huu Wa Leo Wa ODDS 180 Mechi Moja Tu Ndio Imegoma Kama Sikosei Wale Wavivu Wenzangu Piteni Na Humo, Na Tangu Juzi Habari Ndio Hiyo, mechi Moja Hadi Tu.
SCREENSHOT HIZI HAPA
View attachment 1258982
View attachment 1258983
angalia humo then leta mrejesho, nipo nakomaa na NBA LiveAsante kiongozi nimeipata inaitwa www.h2hstats.net
angalia humo then leta mrejesho, nipo nakomaa na NBA Live
Chelsea baba lao ,Leicester baba lao ,PSG baba lao ,Madrid baba lao, inter baba lao, Monaco baba lao, Bayern baba lao, ARSENALI ---------------???????
Mbona haipatikana hii site au ni appKuna WEBSITE Inaitwa h2hsat.net Niliigundua Juzi Wakat Nafanya Utafiti Wa ODDS Za Over 6.5
So Nikakutana Na Kipart Ambacho kinakutengenezea mkeka kwa Prediction za mechi zao bure Tu Yaani kama Calculator, Unasema Unataka ODDS Zipi Then Total ODDS Ngap, Tangu Juzi Naona Mikeka Wanayotengeneza Ina make Sense Kila Nikifuatilia Result, Mfano Huu Wa Leo Wa ODDS 180 Mechi Moja Tu Ndio Imegoma Kama Sikosei Wale Wavivu Wenzangu Piteni Na Humo, Na Tangu Juzi Habari Ndio Hiyo, mechi Moja Hadi Tu.
SCREENSHOT HIZI HAPA
View attachment 1258982
View attachment 1258983
Umeanza udaku?hatuhitaaji ushauri nasaha humu.hata kama not won nyingi kuliko won ulitaka kusemaje?,unaweza kuwa na not won kibao... won moja tu ikaua kila kitu.acha tupambane..Embu tujadiliane kidogo mikeka baadae na nusu. Tunabet ili kupata pesa au tunabeti ili kupata stimu ya kucheki games. Tafakari kidogo tokea uanze kubet kati ya won na not won zp nyingi.
Bookie walimwamini Leicester tangu mwanzo odds nilikuwa 1.98 labda wewe ndio ufatiliiBila kujali uwezo wao kwa sasa, hata bookies hawakuweza kuwaamini Leicester direct kwa game ya leo mpaka halftime shot on target ni 2 kwa 1, kwa kasi kubwa game ilikuwa inaenda kuwa draw, ila mambo yakabadilika na ndio mpira ulivyo. Tumsubiri Barca...
Liverpool kumpiga man city sio rahisi
Unaweza kulost mikeka 90 ila ukawon 10 na ukawa na faida.Embu tujadiliane kidogo mikeka baadae na nusu. Tunabet ili kupata pesa au tunabeti ili kupata stimu ya kucheki games. Tafakari kidogo tokea uanze kubet kati ya won na not won zp nyingi.
Mimi leicester nilimuamini,mikeka yote ya jakpot nilimpa.arsenal wasingeuweza mziki wa kina vaddy.
Mechi uliiangalia lakini? Kuna mechi zingine unaona kabisa.. mtu anaweza kukaza sana lakini mwisho wa matokeo kipigo kinakuwa palepale tu.mimi ningekuwa hata na milioni ninge stake kwa leicester.