Guys hii ni biashara kama biashara zingine. Mie nakula sanaaa lakini pia naliwa sanaaa.
Naweka mikeka yangu hapa ili kuwapa moyo watu wasikate tamaa. Sio showing Off.
Nimewahi kuweka 5M ikaliwa yote.
Lakini
najaribu kushare possibles zangu na watu wengi sanaaa hapa lakini kuna wengine wanakatisha tamaa.
Nilikua natizama BBC wakawa wanasema Leicester sasa hivi ni bora kuliko kipindi wamechukua Kombe, lakini ndio timu ya pili kufunga magoli mengi baada ya Man City. Nikaona odds za Bure kabisa, nikaona nije kushare na nyie hapa, ila kuna jamaa akajitokeza akasema nawaingiza chaka, nilishangaaa. Adui yetu ni mmoja, Muhindi, inatakiwa kushirikiana ili tumpige na sisi, ila tukianza kutengana atatupiga sanaa.
Napenda kutumia Meridian sababu ya Turbo nikiona mambo magumu navuta pesa yangu nasepa.