Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,508
- 2,060
Naombeni jina la app nzuri katika iphone 6+ ya kubet
Guys hii ni biashara kama biashara zingine. Mie nakula sanaaa lakini pia naliwa sanaaa.
Naweka mikeka yangu hapa ili kuwapa moyo watu wasikate tamaa. Sio showing Off.
Nimewahi kuweka 5M ikaliwa yote.
Lakini
najaribu kushare possibles zangu na watu wengi sanaaa hapa lakini kuna wengine wanakatisha tamaa.
Nilikua natizama BBC wakawa wanasema Leicester sasa hivi ni bora kuliko kipindi wamechukua Kombe, lakini ndio timu ya pili kufunga magoli mengi baada ya Man City. Nikaona odds za Bure kabisa, nikaona nije kushare na nyie hapa, ila kuna jamaa akajitokeza akasema nawaingiza chaka, nilishangaaa. Adui yetu ni mmoja, Muhindi, inatakiwa kushirikiana ili tumpige na sisi, ila tukianza kutengana atatupiga sanaa.
Napenda kutumia Meridian sababu ya Turbo nikiona mambo magumu navuta pesa yangu nasepa.
mkuu wengne tunakufaidi na inspiration yakoGuys hii ni biashara kama biashara zingine. Mie nakula sanaaa lakini pia naliwa sanaaa.
Naweka mikeka yangu hapa ili kuwapa moyo watu wasikate tamaa. Sio showing Off.
Nimewahi kuweka 5M ikaliwa yote.
Lakini
najaribu kushare possibles zangu na watu wengi sanaaa hapa lakini kuna wengine wanakatisha tamaa.
Nilikua natizama BBC wakawa wanasema Leicester sasa hivi ni bora kuliko kipindi wamechukua Kombe, lakini ndio timu ya pili kufunga magoli mengi baada ya Man City. Nikaona odds za Bure kabisa, nikaona nije kushare na nyie hapa, ila kuna jamaa akajitokeza akasema nawaingiza chaka, nilishangaaa. Adui yetu ni mmoja, Muhindi, inatakiwa kushirikiana ili tumpige na sisi, ila tukianza kutengana atatupiga sanaa.
Napenda kutumia Meridian sababu ya Turbo nikiona mambo magumu navuta pesa yangu nasepa.
SportPesaApp gani ya kubet ipo katika iphone ndugu
Biashara yoyote ile ukiwa na mtaji mkubwa unapata faida kubwa. Ukiamua kila siku ulaze angalau laki kwa mtaji wa 1mil inawezekana endapo utaacha tamaa
Naombeni jina la app nzuri katika iphone 6+ ya kubet
Hii game haifai kuicheza.Nawaibia siri liver anakufa
Dc 12Hii game haifai kuicheza.
Ahsante mkuu kwq ushauri ntajaribu kuufuata nipunguze vipigo. But naomba kuuliza hii kitu inaitwa DC ni nini naona sana watu wakiitajaMkuu jitahidi uwe unabet mechi chache hata mbili au 3 lakini zenye uhakika
Hata ukipata odds 3 ukaweka 10000 ukapata 30000 sio mbaya mkuu
Double chanceAhsante mkuu kwq ushauri ntajaribu kuufuata nipunguze vipigo. But naomba kuuliza hii kitu inaitwa DC ni nini naona sana watu wakiitaja
Mayu mbona leo haujaeka mkeka wako mkuu?Double chance
BOOOOOOOM.Man U win
Wolves vs Aston G.G
Game ya Liver na City tuitizame kuenjoy mpira tu, usitie maguu kabisa
BOOOOOOOM.
BOOOOOOOM.