Jagood
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 2,144
- 2,397
Naijui hii principal coz nipo field chief hio
And that’s going concern principal
And that’s going concern principal
Asante kiongozi nimeipata inaitwa www.h2hstats.net
Wakuu hawa meridian ni wezi au naona wanapunguza hela kimya kimya yaani ukizidisha odds hela wanayotakiwa wakupe hawakupi wanakupa wanayotaka au anaejua wanavyokadiria anijua maana huu mkeka nilliweka 2300 odds ni nne na point hlf wananipa 6000 badala ya 10000 View attachment 1259917
Hii bet gani?Mdogo mdogoView attachment 1259160
Ujaanfalia H2H wewe, hizo odds alizokuwa kapewa Leicester no ndogo sana kwa upande wake alistahili 2.89Alichokimaanisha mkuu ni kwamba Leicester aliaminiwa ila pungufu, kwa kuangalia madhaifu ya Arsenal na mpira mwingi anaoupiga Leicester City kwa sasa hakustahili kupewa odd hiyo ni ya kimtego. Nini maana ya odd 1.98? Hii kimahesabu ni sawasawa 50% ya ushindi kama sikosei inaendelea kuwa na maana pamoja na Arsenal kusuasua bado sio timu ya kubeza kwa mechi ya jana ilikuwa haitabiri moja kwa moja, me ni miongoni mwa watu ambao sikuibetia japo niliamini milango itakuwa migumu kufunguka, under 2.5 goals inahusika.
Wacha kudaganya weweKingine humu kuna mawakala wa muhindi. Wanapoteza wenzao kwa kuwapa hints mbovu
WON
Hiyo combinations zako ndio zimepunguza oddsWakuu hawa meridian ni wezi au naona wanapunguza hela kimya kimya yaani ukizidisha odds hela wanayotakiwa wakupe hawakupi wanakupa wanayotaka au anaejua wanavyokadiria anijuze maana huu mkeka nilliweka 2300 odds ni nne na point hlf wananipa 6000 badala ya 10000 ndio maana ille million ishirini illileta mkanganyiko badala ya million ishirini na saba wakatoa ishirini na tatu sijui View attachment 1259917
Juv win &UND 2.5
Cs 2-0/1-0 ft
Inplay
Late night matches za Amerika Kusini ila mbonji unaitoa sadakaMkuu BOOOM liende pamoja na ma_green colour just for inspiration