Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Live za Jana usiku, nililala, nimekutana nazo asubuhi
4A78E53B-5C8F-414C-9B56-109B575F09AB.jpeg
 
Ila hawa meridianbet kuna muda wanatia hasira aisee, jumamosi na jumapili network yao inakua imelewa karibia siku nzima, nimefanya deposit za 500k Mara mbili zote hazijaingia kwenye account, Nikipiga customer care wananiekea miziki tu mpaka dakika 7 afu salio linaenda tu,pumbavu zao
 
Hawa jamaa kama wangekuwa hawana usumbufu ingekuwa betting site nzuri, sema during weekends wanazingua kinyama
 
Nakwama wapi na matrailer yangu ? Nimepata timu 10 kati ya 13 na nyingine 9 kati ya 13 na ni mikeka ya siku moja...
Capture.JPG
Capture%202.JPG
 
Parimarch ni viumbe wa ajabu sana, kuna bet niliplace juzi lakin hadi Leo hawaja update matokeo ya mechi zote tatu ila kwenye bet result ni lost hadi ikabidi niende google nikakuta kweli kuna mechi ilitoa droo..

Bet nyingine nimeplace Jana na mechi zimeisha tangu jioni lkn hadi Leo wame update matokeo ya mechi mbili tuu kati ya Tisa hadi imenibid kwenda google tena na nimekuta zote zimetoa lkn matokeo hawaja update na mkeka bado umewekwa pending,
naskia hiyo parimatch ni mbovu sana wana njaa sana hawana kabisa hela siku ukiwala hata milioni watakutaftia kosa lolote kwenye account yako ili wapate sababu ya kukunyima .kuna jamaa walishamfanyia hivyo afadhali spesa ama mbet hao pmatch wazinguaji
 
Wakuu Jana nilibet total penalties katika mech 6 za seria A under 2.5 na ikatokea penalty moja na mkeka lost.Mimi niliguatilia kupitia live score nikapata hivyo.Wakuu msaada nifanyeje ilikuwa ni 22bet
 
Game ya Lazio ilikuwa na penalt 2, na game ya udenese penalt 1 jumla 3
 
  • Thanks
Reactions: Ccc
Jana nimebeti man u na brighton,
Nikampa man u ashinde, kweli nimeshhida 800.
leo kuna mechi gani ya uhakika nibeti tena. mimi hata sitaki hela nyingi
Hiyo picha ni yako? Una kaulimi kazuri, tafadhali naomba urudi nyumbani sauda... Pesa nitakuletea.
 
Back
Top Bottom