Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa M-bet nawahama rasmi, nimeshawaona wezi. Perfect 12 Hela zikishajaa wanatuletea maigizo. perfect ya jana ilivyo na madraw mengi mtu kaoteaje? Au mm ndo sijui kubet?
Wasanii hawa cheza kawaida tu
 
Meridian nataka kuwahama rasmi sasa...inapofika week end wanakuwa sio reliable hata kidogo.Ni kampuni gani ina options nyingi na inaruhusu mobile transaction?Nihamie huko
 
Kweli mkuu,Mimi not won zilifika hadi 250 na won 10 tu,lakini nilikuja kula jackpot nikasahau maumivu yote,binafsi Mimi nikiliwa huwa silalamiki kwani naaamini nikiliwa kuna mwenzangu amekula nami IPO Siku.don't give up
Umeanza udaku?hatuhitaaji ushauri nasaha humu.hata kama not won nyingi kuliko won ulitaka kusemaje?,unaweza kuwa na not won kibao... won moja tu ikaua kila kitu.acha tupambane..
 
Mchana huwa mzuri unapopata ka notification toka 1xbet
IMG_20191111_164917_150.jpeg
 
Wakuu 1xbet wananizingua kutoa pesa, kila nikitoa inakuwa rejected, nilideposit kwa Mastercard pia Nadraw kwa Mastercard inakataa msaada jamani mwenye idea yoyote anisaidie
 
Wakuu 1xbet wananizingua kutoa pesa, kila nikitoa inakuwa rejected, nilideposit kwa Mastercard pia Nadraw kwa Mastercard inakataa msaada jamani mwenye idea yoyote anisaidie
Unapata ujumbe gani
Jaribu kuwasiliana nao
 
Wakuu 1xbet wananizingua kutoa pesa, kila nikitoa inakuwa rejected, nilideposit kwa Mastercard pia Nadraw kwa Mastercard inakataa msaada jamani mwenye idea yoyote anisaidie
Nenda kwenye kale kaalama ka kalam hlf nenda kwenye edit profile jaza vizuri hlf jaribu kutoa inaonekana profile yako kuna magepu
 
Wakuu 1xbet wananizingua kutoa pesa, kila nikitoa inakuwa rejected, nilideposit kwa Mastercard pia Nadraw kwa Mastercard inakataa msaada jamani mwenye idea yoyote anisaidie
Hakikisha kwanza profile imejazwa vizuri hlf toa
PhotoGrid_1573496002838.jpeg
 
Dah mkuu hio sehemu nilijza mara ya kwanza ila sikujaza kila kitu nikaclick ok, sasa sahizi option ya edit profile siioni tena.
Ingia kupitia chrome webversion log in nenda kweny setting fanya ku update details Zako Kisha save toa pesa izo boss
 
Back
Top Bottom