Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna watu wivu utawaua humu! Sure kabisa! Mtu hana wivu unaomsukuma yeye binafsi afanye kitu kilicho bora zaidi ili afanikiwe yeye binafsi!

Na hii inadhihirisha watanzania wengi jinsi walivyo hata kwenye maisha ya mtaani. We must change the attitude we are belonging to!

Let love lead among of us!
 
mnatuchosha na makampuni yenu hayo ya nje kila siku kulalama tu hamkomi tu jaman!!! makampuni ya bongo yamejaa hapa kibao mnakimbilia ya nje wacha wawasumbue tu hakuna namna!! maana mtoto akililia wembe mpe akijikata atajijua mwenyewe!!!
 
Ingia kupitia chrome webversion log in nenda kweny setting fanya ku update details Zako Kisha save toa pesa izo boss

Mkuu huko nikiingia nikilog in wanasema niverify number nikiweka namba wanatuma code nijaze sasa tatizo zile code hazifiki kwenye simu!!
 
Huu uzi nilikuwa nauona na kuupitia mbali ila siku nimeingia kwenye uwekezaji huu sikosi kuupitia kuchota ujuzi japo tangu nimeingia nakula za uso tu ila sikati tamaa
Hii ni Kama bangi. Huwezi kuacha.
 
Huu uzi nilikuwa nauona na kuupitia mbali ila siku nimeingia kwenye uwekezaji huu sikosi kuupitia kuchota ujuzi japo tangu nimeingia nakula za uso tu ila sikati tamaa
Ndiyo uzi pekee ulio strong humu ndani. Hauwezi kuingiliwa na waliomo humu wanaelewa wanachokifanya wenyewe wenyewe tuu
 
Si mtumie sportpesa wao hawana hizo shida ndogo ndogo za kutoa au kuweka kwani hizo kampuni mnazo zilalamikia zimewapa nini mbona mmeziganda hivyo
Yaani ni sumbuke kumla mhindi na kutoa pesa yangu nisumbuke
Kaka hii Kama bangi, ukizoea kuvutia kichochoro fulani huachi kwenda.
 
Shida kubwa ya bookmakers wa kibongo ni wababaishaji kwa namna moja au nyingine na ndio sababu ya watu kukimbilia kwa kampuni za nje...Sababu huko kunakila kitu unachokitaka katika betting na wao hawambani mteja kama ilivyo kwa bookmakers wa Bongo..
 
Doooh
Yaani FIFA wamemtunuku kakaetu malinzi faini ya bil.moja na asishiriki miaka KUMI

SASA mnamwonyesha nn jaji mhusika SIKU ya hukumu afanye nn doh
 
INDONESIA LIGA 1
Odds 1.8
Adjustments.JPG
 
Back
Top Bottom