Edgar011
Senior Member
- Aug 4, 2011
- 108
- 60
Shida ya hii league hua inatoa draw zisizotarajiwa. Lakini inatoa sana GG na penalty. Nishaogopaga kufata direct win Indonesia

Sure hata kwangu mkeka wa toka jumamosi bado upo pending ingawa ulilose kwa team mojaTahadhari Jamani,
Kama unabeti kwa kutumia Parimatch Acha mara moja.
Hawajalipa mikeka waliyoliwa tangu ijumaa Eti Wanasema wanatatizo kwenye mfumo wa kuupdate matokeo cha ajabu ukiliwa matokeo system yao inasoma ila ukila Ndo tatizo
Hela itakuwa imewaishia kwenye mzunguko.😀😀Tahadhari Jamani,
Kama unabeti kwa kutumia Parimatch Acha mara moja.
Hawajalipa mikeka waliyoliwa tangu ijumaa Eti Wanasema wanatatizo kwenye mfumo wa kuupdate matokeo cha ajabu ukiliwa matokeo system yao inasoma ila ukila Ndo tatizo
Tahadhari Jamani,

Una share kwenye hii kampuni? Waambie walipe hela waliyopigwaKwenda zako
Washalipa tangu Jana sa 2 usiku mwenyew nlkuwa nasbr kuvuta kama elfu 40 Jana usiku nimetupia mechi za usiku nimeamka na payment IMO[emoji39]Tahadhari Jamani,
Kama unabeti kwa kutumia Parimatch Acha mara moja.
Hawajalipa mikeka waliyoliwa tangu ijumaa Eti Wanasema wanatatizo kwenye mfumo wa kuupdate matokeo cha ajabu ukiliwa matokeo system yao inasoma ila ukila Ndo tatizo
Shida ya hii league hua inatoa draw zisizotarajiwa. Lakini inatoa sana GG na penalty. Nishaogopaga kufata direct win Indonesia
Mkuu labda kwako tuTahadhari Jamani,
Kama unabeti kwa kutumia Parimatch Acha mara moja.
Hawajalipa mikeka waliyoliwa tangu ijumaa Eti Wanasema wanatatizo kwenye mfumo wa kuupdate matokeo cha ajabu ukiliwa matokeo system yao inasoma ila ukila Ndo tatizo
Kampuni Ni Betpawa Tu, Wengine Wote Wezi
Bora kwako ni nini? FungukaKampuni unajisajilia kwa namba ya simu unasema ni Bora???
Bet pawa wameniboa hmna ice hockeyBora kwako ni nini? Funguka
Dah! Mwamba nilivutiwa na staili yako ya kubet baada yakuon stake zako nkaona liwalo na liwe nimeenda nimeingiza buku 5 la faster faster kwa stake ya buku 15,Mkuu labda kwako tu
Wengine fresh tu mbonaView attachment 1261216View attachment 1261217View attachment 1261218
Bora kwako ni nini? Funguka
Una share kwenye hii kampuni? Waambie walipe hela waliyopigwa