Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Hyo stake ni ya Jana usiku kuamkia Leo but no pending, ni kweli walkuw na ttzo la network ku update result tangu ijumaa mwenyew nilpigwa pending mechi ya herthabsc vs Leipzng na barca vs celta ila Jana wamepay na nkaeka stake nimekuta payment View attachment 1261188
Sasa limtu linaanza kukataza watu wasitumie kampuni fulani sababu ya tatzo lililo wazi na kila kampuni lipo
Kama wakala bhana