Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Katika tovuti za hovyo ni princessbet, ikifika mida kama hii wahudumu wanaenda kunywa kahawa pale posta mpya na tovuti inazimwa kabisa. Yaani nipo huku kwa ajili ya hakuna kodi tu.
 
Screenshot_20191113-175123.pngFB_IMG_1573657297472.jpg
 
sasa hivi princessbet kuna kodi 20% na hakuna bonus xo napo pamekuwa sio friendly wanasema serikali ndio imefanya hivyo
 
BIG BACKAP BOOM!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BOOM! BOOM!

Leo mnaeza jiulza why? Sijatupia winning stakes kibao

Inshort; my initial amount Elfu 30000

Nimewini na kuloose ule mda,

Nkajikopa Elfu 30000 kwenye winning Jana

Kilichoendlea! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimekimbiza kutoka elfu 30000 mpka Elfu 83000

Now ndo nime rudisha ile Elfu 30000 nimebaki na Elfu 53000

Ukitoa my initial amount; 30000

Faida; Elfu 23000

NOTE; Kama una roho nyepesi endelea
kuweka stake za pre-match
Elfu 10000 ushinde Elfu 20000

Screenshot_20191113-145803.jpeg
Screenshot_20191113-180550.jpeg
Screenshot_20191113-180557.jpeg
Screenshot_20191113-180607.jpeg
Screenshot_20191113-180757.jpeg
 
78%
Stake what you can afford to lose

Downloading............
Screenshot_2019-11-13-18-14-47-1.jpeg
 
💯💯

Guinea Bissau - Swaziland

1X2 & Under/Over

1&U (4.5)

1.36

×

10050 |

Cameroon - Cape Verde

1X2

1

1.48

*more games here:*
 
Nilikuwa najaribu supabets......naona ni majanga tu ....opt
1&under3.5....odd 1.73, status ...loose
Mechi ya Malawi
Result: 1:0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20191113_184132.jpeg
 
Back
Top Bottom