Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu, mimi mambo ya odds sijayajua bado, yananichanganya.
ungeniambia tu kama alivyoandika basiasi hapo juu, mfaono timu 1 na timu 2, timu 1 itashinda, hiyo itanisaidia, ila ukiniambia odds, sijafaham bado. ila taratibu nitafamu.
Dada angu Sauda, tafuta kijan aliyekarbu akuwekee huo mkeka na akufundshe humu tutakesha but mkeka uo uko nje nje
 
BOOM![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Stake; Elfu 10100 Won Elfu 13209

Faida; Elfu 3209

Imeisha hyoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20191113-142550.jpeg
 
Wana mwenye namba ya huduma ya wateja ya betpawa anirushie maana nina mkeka umetik toka asubuhi awaniingizi hela hela wananiigizia vi hela vidogoo vidogo tuu baba lao wanajizungusha tuu!!
 
nimebet nabibia win, malawi win, stake 500, natarajia kushinda 1,000 hivi.
mia tano nitaisubiria kwenye mechi ya uhakika nibet tena, mia tano nyingine nitaiweka kwenye mkeka wa hela ndefu, natarajia kununua simu kubwa kupitia kubeti, nilianza na mia tano!
OK so mbaya lkn
 
Kaka unaroho haswa kuweka mkeka wa stake ya elfu kumi ili Nile faida elfu tatu hapana siwezi aisee bora niweke elfu kumi Nile japo faida ya kumi nyingine aubishiri au bora tu iungue kuliko kula huku tatu
BOOM![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Stake; Elfu 10100 Won Elfu 13209

Faida; Elfu 3209

Imeisha hyoo[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1262138
 
nimebet nabibia win, malawi win, stake 500, natarajia kushinda 1,000 hivi.
mia tano nitaisubiria kwenye mechi ya uhakika nibet tena, mia tano nyingine nitaiweka kwenye mkeka wa hela ndefu, natarajia kununua simu kubwa kupitia kubeti, nilianza na mia tano!
kaza moyo utashinda
 
SINGLES ✪ODD 3 ticket no 4

►Exeter - westham u21 -> 1 (1.80)
►Bristol -Swidom 1 (1.40)
►Fletwood - oldham uv 2.5 (1.62)

Good Luck (y)
 
Back
Top Bottom