Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

AGAIN; Multiple Betting

Kale kastake ka multiple nlikosema nako

Kamekuja kiulanii

Stake; Elfu 6359 Won Elfu 15890

Faida; Elfu 9549

Apo, nimeamka jumla na Elfu 32258

[emoji23][emoji23]Ngoja na Leo niuvutie upepo wa Laki kimasihara,
Screenshot_20191113-073813.jpeg
 
Woyoooo

Again

Stake; Elfu 6600 Won 10250

Faida: 3650

Remember nimeanza upya na stake ya Elfu 5000 so totally faida 5250

[emoji53]FearLess
Mzeiya nimekufatilia toka jana, unakaupepo balaaa lakinj nafikiri huogopi sababu hujawahi pigwa hela nyingi kwa gafla
 
At least 25-30 min mzee apo angalia na ugumu,pressure,na Odds usitake kubwa sana mega kidogo kidogo tu kitakuw kikubwa
mdu naona mechi nyingi unacheza live,je unastake mechi ikiwa katika dakika ya ngapi ili kuwa na uhakika kidogo,kwenye option ya 1ht
 
[emoji53][emoji53][emoji53] we jamaa machungu nlopitia ungekuw

karibu wallah tungerusha ngumi,

Maumivu niloptia nayajua Mimi a see

Sioni ajabu kuweka hata stake ya laki moja

Kwa taarifa ako tu; niliwahi liwa pesa ya

sister angu kanitumia ya kusimamia ujenzi wake

yote laki 450000 nakumbuka ilikuwa match

Ya Arsenal vs crystal Palace(ndo kipindi kile arsenal katoka tu kumpa napoli 2 za uso nyumbani kwake)

Sikuamini game iliisha 2 kwa 3


Apart; from that stake ndogo ndog za elfu 40 to 50 nshaliwa Mara kibao

Yani hata nikila M2 ndo faida yangu ya career betting

Mzeiya nimekufatilia toka jana, unakaupepo balaaa lakinj nafikiri huogopi sababu hujawahi pigwa hela nyingi kwa gafla
 
[emoji53][emoji53][emoji53] we jamaa machungu nlopitia ungekuw

karibu wallah tungerusha ngumi,

Maumivu niloptia nayajua Mimi a see

Sioni ajabu kuweka hata stake ya laki moja

Kwa taarifa ako tu; niliwahi liwa pesa ya

sister angu kanitumia ya kusimamia ujenzi wake

yote laki 450000 nakumbuka ilikuwa match

Ya Arsenal vs crystal Palace(ndo kipindi kile arsenal katoka tu kumpa napoli 2 za uso nyumbani kwake)

Sikuamini game iliisha 2 kwa 3


Apart; from that stake ndogo ndog za elfu 40 to 50 nshaliwa Mara kibao

Yani hata nikila M2 ndo faida yangu ya career betting
We jamaa ni jasiri wengine tukila faida ya arobaini kwa siku tosha kabisa
 
Apo ndo ngumu mzee
Utukumbe mwamba nasisi tumpasue kanji
May be multbet (pre-match)

Maana live betting is about you and your

Value findings on certain match (quickly and efficiency )

Maana Odds zinachange every second pass out, kuna Odds nacheza nazo hadi 1.10 odds lakini siiachi najua ni hela hyo

What's Matter is Your creation of Reasoning kweny odds value na minutes left to half|finish

Chukua tu basic advantage za live betting

1.inakupa additional chance to bet, Incase ume win utatak uwin tena but ukienda kichwa kichwa unakula za uso na ni kawaida tu


2.Inakupa Wider selection of betting option

[emoji115]hapa ndo pa muhimu lazima umfukunyue bookmaker mpk uone pakumpatia(akili na timing zicheze asee)

3.Inakupa "More Information" ya kukupa

reasoning kuplace bet( hapa make sure una
app hata ya livescore au sofascore)

unaenda chapu kuangalia weaker & strong
side,shorts on target,position,corners na previous matches ya kila timu. atleast utabet kwa confidence

4. Inakupa Greater chance kutafuta Additional Value,.

Additional value kiaje??

Iko hivi match mfano match ikiwa haijazaanga value zinakuw chini ila kadiri match inavoenda ikifka kwenye 25min-30min unaeza kuta

Over 0.5 odds inarange hadi 1.50 (incase timu ziko 0-0)

Au
Matokeo yakiwa 0-1
naeza Kuta under 1.5 odds hadi 1.50

Pia zngatia Kutegmea umeingia mda gani but first half ndo tamu.

[emoji855]hayo mawazo ukichangnya na akili zako naamin utatoa kitu,

Yote na Yote, weka kapuni FEARLESS ndo kila ktu
 
uyo jamaa hatoagi tips kabisa,.adi akishinda ndo anatuonesha kua kashinda
Mnazengua wana [emoji855][emoji855][emoji855] yani mkiniona jinsi navyozisaka hzo tps unaeza sema huyu jamaa kaweuka naangalia uku na uko kwa speed ya 4G kurud kubet nakuta zimepngua

Sasa kuja kukufkia nawewe hyo odds uingie ukabet utakuta iko ngp?? Mtanisameh apo nimesema pre-match sawa
 
============
Romania
FC UTA Arad - FC Gloria Buzau
Tip 1 OR GG @ 1.55

AFCON
Angola – Gambia
Tip 1 or GG @ 1.55

AFCON
Guinea Bissau – Eswatini
Tip 1 or iov2.5 @ 1.54

International Friendly
Union Berlin – Holstein Kiel
Tip Over 2.5 @ 1.54
============
 
England
Exeter – West Ham United U21
Tip BTTS@ 1.50

Spain
Melilla CD - Lobon
Tip 1 @ 1.38

England
Fleetwood Town – Oldham
Tip Over 2.5 @ 1.60

England
Bristol Rovers – Swindon
Tip BTTS@ 1.70

============
BONUS TICKET
Afcon
NigeriavsBenin
Tip [email protected]

Afcon
Burkina FasovsUganda
Tip [email protected]

Int U19
Cyprus U19 vs Slovakia U19
Tip [email protected]

Serbia
FK Zlatibor vs Radnicki Pirot
Tip [email protected]
============
 
Back
Top Bottom