SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wasee nilichomoa laki tena nayakutolea kbsaa nkaacha elfu 35000Nadhani itakuwa aliweka laki kwenye mkeka uliofuata[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23]mzee ujue kaprincipal ka kimasihara nakatumia nakenyew afu kanajipa tuuKama kuweka laki upate laki na ishirini alafu kanji akapita nayo[emoji23][emoji23][emoji892]
Kabisaa mwamba.[emoji111]WADAU TUNAFELI WAPI KWENYE KUBETI EBU JIULIZE MTU KILA SIKU UNAMPA ARSENAL NA MAN U WASHINDE ET KISA NI BIG TEAMS WAKATI UNAWEZA UKAWAPA OVER 1.5 UKAINGIZA MKWANJA IMAGINE MTU ETI ANAMBETIA GENK KUSHINDA MBELE YA LIVERPOOL AMA MAN CITY MBELE YA LIVER KISA USHABIKI WAKAT NUSU YA KIKOSI CHA CITY NI MAJERUHI KWA ALI HII KANJI ATATUNYOOSHA,,,,,,,,KAMA UNAPENDA KUWEKA MIKEKA YA HIVYO VUTA PUMZI JIPIGE PIGE KIFUA SEMA MIMI NI FALA
Mkuu,hapa umemuua man city ama mie ndio sijaelewa?Pesa hyo tarehe 23View attachment 1261237
We mkuuu noma ila mi siwezi kwangu Mimi kuweka elfu hamsini Ili nile elfu sabiniWoyoooo
Again
Stake; Elfu 6600 Won 10250
Faida: 3650
Remember nimeanza upya na stake ya Elfu 5000 so totally faida 5250
[emoji53]FearLessView attachment 1261836
Njia tofauti, GOAL kushinda tu!We mkuuu noma ila mi siwezi kwangu Mimi kuweka elfu hamsini Ili nile elfu sabini
mdu naona mechi nyingi unacheza live,je unastake mechi ikiwa katika dakika ya ngapi ili kuwa na uhakika kidogo,kwenye option ya 1htNjia tofauti, GOAL kushinda tu!
Ila ukiangalia stake zangu zote Nina Loose moja tu nayenyew ya buku 8 sasa jiulze kwann hizo hazijafail yenye buku 8 ndo fail na why? Niliwek buku nane.
Jibu ni moja; ukiona naeka higher Amount. Kuna high accuracy of wining na hapo ndo utamu wa kubeti nela kubwa kubwa unaona