Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa M-bet nawahama rasmi, nimeshawaona wezi. Perfect 12 Hela zikishajaa wanatuletea maigizo. perfect ya jana ilivyo na madraw mengi mtu kaoteaje? Au mm ndo sijui kubet?
Gambling mchezo wa kihuni kama ulikua hujui. Refa aingie na mawazo yake wachezaji 22 nao waingie na mawazo yao V.AR nayo itie mawazo yake wahuni wa kuhakikisha timu haiondoki na pointi tatu waingie na mawazo yao halafu utarajie kutakuwa na fair game? Hahahaha
 
Wallah leo nnachokitafuta ntakipata,[emoji23][emoji23][emoji23]

Yan Leo kaepepo siamini amini., tangu mwamba katupia screenshot

Kimazabe mazabe buku 9 imeingia tena saiv live betting

(ukiangalia my first screenshot
nliamka na elfu 30) now elfu 63900 [emoji23]

bado nimetulia ktandani nisubiri yakunipataView attachment 1261404
Una hatari we jamaa yani elfu 28 unaitafuta elfu 8? Aya
 
jaman wakamaria wenzangu,tumehangaika sana kubetia football lakn tunaambulia patupu Mara moja moja ndo tunakutana na win baada ya msoto wa loss za kutosha.nawashaurin tubetie pia tennis,tennis ukiielewa ina urahisi mkubwa wa kuwin ,Mimi sav nimehamia huko naruka na odd ya chin ya 1.40 then naweka buku ten napata 14k,faida bukunne,kuna options kule zenye hela ya waziwazi ubaya ni kwamba tushang'ang'ania football kwa sabab nmchezo tumekua tukiujua na kuufatilia na pia kwa vile upo broad sana.
N USHAUR TU JAMAN.
 
Odd ya 1.6 haikukupa presh uje ushikwe presha na hko ka odd? Kaza moyo kama uliweza kuweka hiyo stake sioni tatizo la wewe kusubiri hizo milioni 18 nadhani achana na habari za kuturbo
Nadhani itakua ni typing error, sio milioni 18 maana hiyo stake haitoi hela yote hiyo.. Ni 1.7M. Sasa hyo gap ndo ya kumfanya asiturbo kweli? Anyway naamini huko alipo ashafanya maamuzi mpaka sasa.
 
Ah nlijua kaweka milioni tatu kumbe laki tatu? Ok shukrani

Kampuni za tanzania zinaudhi sana!
Wavuti wa www.princessbet.co.tz mara nyingi haupatikani, mara cloudfare sijui nini! Ukiwapigia simu yao inakata tu masaa nenda rudi, wanabadilisha namba za cm kienyeji na hawatoi taarifa, option ya 2+ wameificha mbali! Tukihamia makampuni ya ulaya wanapiga majungu! Dah!
Tukibeti kwenye makaratasi kwa mhindi dukani option chache!
Ukipipiga hesabu uwezekano wa mbetiti kumpiga mhindi ni 25% tu kwa sababu ametengeneza mazingira ya kukuchapa wakati wote.
 
Back
Top Bottom