FatherOfAllSnipers
JF-Expert Member
- Mar 13, 2019
- 1,709
- 4,508
Mwarabu kaolewa?Bado Gabon ngoja tuwaone
Mwarabu kaolewa?Bado Gabon ngoja tuwaone
Beti ngumu jamani
BonusUnaweka odds za ajabu kama hizo halafu zinachana
Yani 1.01 seriously?ni almost 1.00 hiyo ambapo ukistake 50,000 inakuja 50,000 hiyo hiyo
Bet ni ngumu lakini mtu unatakiwa kuwa risk taker...odd ya 1.01 haiongezi cha maana
Hapa kuna Hela mchana kweupee kbsaaWEKA 1&2/5View attachment 1263262
Mkuu hii unaanza 0-0 baada ya kuplace stake mfano: hapo Qatar ana 9 na Lithuania ana 0Naomba maelezo Hapo wanaposema (WHO WINS THE REST OF THE MATCH) huwa wanaangalia Matokeo gain?View attachment 1263303
[emoji23] hyo odd 1.0000 kubwa sanaaaBeti ngumu jamani
INGIA PLAYSTORE DOWNLOAD HII APP, TIPS ZAO 1.5 OVER ZINAKUBALI SANA 98%View attachment 1263368
Over 1.5 tips (cheki hapo juu kushoto)Inaitwaje??