Kingkorlar
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 875
- 996
Turkey vs Iceland =>Away team toscore a goal =Odd 1.71
Akili ni nywele kila MTU ana zake [emoji855]WEKA 1&2/5
swala ni dharau na dalili ya utapeli,taaisisi isiyopokea simu kusikiliza malalamiko ya wateja ni taasisi au kilinge cha panyaroad???Mkuu usipate shida hivyo, hao siyo 1xbet useme wako urusi huwezi kuonana nao, hawa si wanapatikana tu tena wana matawi kibao we nenda tu kwenye tawi lao lolote utamalizana nao hapo hapo huna haja ya kusumbuana nao kwa cm tu. Pole hizi changamoto kama hizi kwenye kazi yetu ya betting zipo sana mkuu
hawa wahuni inawezekana kabisa,upepo haujawaendea vyema wiki mbili hizi,sasa wanaangalia namna ya kujihifadhi.Hii imenikuta na mm pia ... nilideposit tar 2nd Nov ... nikapata sms ya uthibitisho from Vodacom tar 3rd Nov. Nimepiga Meridianbet bila mafanikio ... nimekuwa mpole tu.
Nachelea kuamini km wameamua kututapeli. Sema support system yao ni mbovu sana.
ah hii uliibiwa mchana kweupe[emoji848][emoji848]Meridian miyeyusho mie nilikosea kuweka mia kama na 50 hivi, nikakosea namba ya utambulisho wakaniambia muamala wanauona ila hiyo pesa imekwenda na maji, hawawezi kurudisha.
Bora kibalaka kuliko kibarakaUnazngua unaonekana kibalaka
Ht kalowaMatokeo ya Kenya