Sio rahisi kama unvyoeleza mkuuUMEWEKA 4000 MECHI KUMI MPAKA TANO INASOMA UKICASHOUT UNA 28 AMA 30 ..UNASUBIRI NN KAMA SIO MCHANGA WA MACHO
MMAKELELE MENGINE MNAYATAKA WENYEWE NENDENI KAMPUNI ZA KU CASHOUT
MAGRP YA WANAIGERIA WANAWEKA MKEKA WA MILION STAKE 4000 UMENUSA HATA 80 K UNAAMBIWA CASHOUT FASTA UNARYDIA MZIGO .MWINGINE
WE SUBIRIA MILLION KAMA AWAJAKUTOLEA KWENYE MSIBAWAKO KAMA MCHANGOO
BET WITH STRATEGY
STAKE UTUJULISHE HIO KAMPUNI IMEJIBUJE SAHIHI AMA SIO SAHIHInmebeti mechi za tarehe 17, kwa tsh 500, natarajia kushnda 12,069.
hii n sahih kubeti mech za tarehe ya mbele? au nimekosea
tayar mkuu, nimebet kwa mia tano, natarajia 12,069 mkeka ukiwa sawa.STAKE UTUJULISHE HIO KAMPUNI IMEJIBUJE SAHIHI AMA SIO SAHIHI
wewe furah tu, ila mimi ndiyo naendelea kutimiza ndoto yangu ya kununua sim ya ukwel kwa kubet.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unanifurahisha sana wewe
Mashallah sauda binti.......Mungu akuwezwshe kwahili ufanikiwe ma diawewe furah tu, ila mimi ndiyo naendelea kutimiza ndoto yangu ya kununua sim ya ukwel kwa kubet.
nlianza kwa mia tano, mpaka leo nina kama 1,300.
mia tano moja niweiweka inizalie 600 mechi ya jion leo, mia tano nyingne ndiyo natarajia inipatie 12,069.
katka hiyo yote miwil, mmjo lazima utiki. kwahiy mtaji uko pale pale.
12,069 ikikubali, nitachukua kama nusu yake, nitandaze mikeka mingine ya mia tano mia tano, hapo elf 5 itakuwa imeingia kwenye lile lengo la kunnua simu.
UKO SAWA MKUU
M KIL WIKI NAMTUNGUA 85-120 KWA OV 1.5 KUANZIA MONDAY
Ukijizoesha sihaba na unapoona zimefikia 85 mkekaa unasoma 100k cashout
InshaallahMashallah sauda binti.......Mungu akuwezwshe kwahili ufanikiwe ma dia
MAOMBI yangu kwa Allah swabahana WA taala
Meridian na play master maramojamoja gal NIKIWA naziamin odds..INA odds kubwa kidogoBasiasi unatumiaga kampuni gani kubetia?
kwa wale wapenzi wa kubeti kupitia meridianbet,nina ujumbe wenu.
jamani tafadhalini,kama una hela na unataka kubeti kupitia meridianbeti,sikushari ufanye hivyo maana ghafla wamekuwa matapeli,nime deposit 30000 ili niweke timu zangu za uhakika tokea tarehe 3/11 pesa ikapotea.
nikawasiliana na vodacom,wakajibu wao walishawafikishia hiyo pesa meridian,niwatafute meridian.nikawatafuta instagram,imail,wakaniambia niwatumie sms za uthibitisho nikatuma,nisubiri saa 72 sikuona pesa.nikaanza upya kuwataarifu wakaniambia tena nitume sms kwa kisha nisubiri saa 72,nikatekeleza na kusubiri saa 72,sijaona hela mpaka leo.
ikabidi nitumie simu ya mkononi,hawapokei simu,nimejiunga dakika 30 nasikilizishwa matangazo mpaka zinaisha simu hawapikei.nikaongeza nyingine 30 labda wametingwa na wateja bado hawakupokea,hapa ndipo mzee mzima nikajua ni rasmi sasa nimetapeliwa hela yangu.
kama kuna njia nyingine za kudai hiyo pesa tusaidiane jaman makamalia wenzangu,nadhani mnafahamu ni jinsi gani shilingi mia 200 ni kubwa kwenye huu mchezo achia mbali elfu 30.
.BOOOOOOOOOOOM ft 2-1INPLAY HOME WINView attachment 1262886
Hiyo nidhamu kuna kipindi itakupeleka kununua gari,umenifurahisha sana. But why hauna ( danga)?.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]wewe furah tu, ila mimi ndiyo naendelea kutimiza ndoto yangu ya kununua sim ya ukwel kwa kubet.
nlianza kwa mia tano, mpaka leo nina kama 1,300.
mia tano moja niweiweka inizalie 600 mechi ya jion leo, mia tano nyingne ndiyo natarajia inipatie 12,069.
katka hiyo yote miwil, mmjo lazima utiki. kwahiy mtaji uko pale pale.
12,069 ikikubali, nitachukua kama nusu yake, nitandaze mikeka mingine ya mia tano mia tano, hapo elf 5 itakuwa imeingia kwenye lile lengo la kunnua simu.
Meridian miyeyusho mie nilikosea kuweka mia kama na 50 hivi, nikakosea namba ya utambulisho wakaniambia muamala wanauona ila hiyo pesa imekwenda na maji, hawawezi kurudisha.kwa wale wapenzi wa kubeti kupitia meridianbet,nina ujumbe wenu.
jamani tafadhalini,kama una hela na unataka kubeti kupitia meridianbeti,sikushari ufanye hivyo maana ghafla wamekuwa matapeli,nime deposit 30000 ili niweke timu zangu za uhakika tokea tarehe 3/11 pesa ikapotea.
nikawasiliana na vodacom,wakajibu wao walishawafikishia hiyo pesa meridian,niwatafute meridian.nikawatafuta instagram,imail,wakaniambia niwatumie sms za uthibitisho nikatuma,nisubiri saa 72 sikuona pesa.nikaanza upya kuwataarifu wakaniambia tena nitume sms kwa kisha nisubiri saa 72,nikatekeleza na kusubiri saa 72,sijaona hela mpaka leo.
ikabidi nitumie simu ya mkononi,hawapokei simu,nimejiunga dakika 30 nasikilizishwa matangazo mpaka zinaisha simu hawapikei.nikaongeza nyingine 30 labda wametingwa na wateja bado hawakupokea,hapa ndipo mzee mzima nikajua ni rasmi sasa nimetapeliwa hela yangu.
kama kuna njia nyingine za kudai hiyo pesa tusaidiane jaman makamalia wenzangu,nadhani mnafahamu ni jinsi gani shilingi mia 200 ni kubwa kwenye huu mchezo achia mbali elfu 30.
nmebeti mechi za tarehe 17, kwa tsh 500, natarajia kushnda 12,069.
hii n sahih kubeti mech za tarehe ya mbele? au nimekosea
Danga ndioo nn ov5.5???Hiyo nidhamu kuna kipindi itakupeleka kununua gari,umenifurahisha sana. But why hauna ( danga)?.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]