Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hela
Capture%2B_2019-11-14-10-50-54.jpeg
 
Asante Sana Mkuu, Mimi Nafuata Kama Ulivyo Ila Naenda Kule Meridian Ili Iwe Rahis Hata Kufanya Turbo.

Ila Msaaada Naomba: Kujua Vigezo Vya Mechi Kwenda Mpaka Set I Ya 3, Nimeangalia Mtandaoni Ni Tofauti Ya Games 2 Kwa Seti Mbiki Mfululizo! Niko Sahihi?
HASWAA MERIDIAN KWA CASHOUT BALAA
 
UMEWEKA 4000 MECHI KUMI MPAKA TANO INASOMA UKICASHOUT UNA 28 AMA 30 ..UNASUBIRI NN KAMA SIO MCHANGA WA MACHO

MMAKELELE MENGINE MNAYATAKA WENYEWE NENDENI KAMPUNI ZA KU CASHOUT

MAGRP YA WANAIGERIA WANAWEKA MKEKA WA MILION STAKE 4000 UMENUSA HATA 80 K UNAAMBIWA CASHOUT FASTA UNARYDIA MZIGO .MWINGINE

WE SUBIRIA MILLION KAMA AWAJAKUTOLEA KWENYE MSIBAWAKO KAMA MCHANGOO

BET WITH STRATEGY
 
Asante Sana Mkuu, Mimi Nafuata Kama Ulivyo Ila Naenda Kule Meridian Ili Iwe Rahis Hata Kufanya Turbo.

Ila Msaaada Naomba: Kujua Vigezo Vya Mechi Kwenda Mpaka Set I Ya 3, Nimeangalia Mtandaoni Ni Tofauti Ya Games 2 Kwa Seti Mbiki Mfululizo! Niko Sahihi?
Upo sahihi mfano mtu akishinda set mbili mfululizo game imeishia hapo hiyo ni lose tiyar
 
wanirudishie tu pesa yangu na sitaki kuwasikia tena,kwanini hawapokei simu sasa?
Mkuu usipate shida hivyo, hao siyo 1xbet useme wako urusi huwezi kuonana nao, hawa si wanapatikana tu tena wana matawi kibao we nenda tu kwenye tawi lao lolote utamalizana nao hapo hapo huna haja ya kusumbuana nao kwa cm tu. Pole hizi changamoto kama hizi kwenye kazi yetu ya betting zipo sana mkuu
 
Back
Top Bottom