Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

IMG_20191114_002507_333.jpg
 
Dah kuna mtu nimemsukia mkeka wa tennis kazini umetoa 4k kwa buku mm nimesuka wangu mtu mmoja kachan tena wangu odds sio nying 150 nlikuw na shid ya 1.6m yy nliotengenez wake odds400 imetoa kwel bet haina ufundi, kesho sijui atanipa msingi yan wiki nzima sijapata hela napotez tu
Mkuu hii wiki ina kimavi wallah kha mi mwenyewe sijala hata mia ni full kumrudishia kanji nilichomla
 
Dah kuna mtu nimemsukia mkeka wa tennis kazini umetoa 4k kwa buku mm nimesuka wangu mtu mmoja kachan tena wangu odds sio nying 150 nlikuw na shid ya 1.6m yy nliotengenez wake odds400 imetoa kwel bet haina ufundi, kesho sijui atanipa msingi yan wiki nzima sijapata hela napotez tu
Tafadhali rusha mwingine na mimi nianzie huko.Sijawahi bet Tennis
 
BOOM! [emoji23][emoji23] ANOTHER GREAT BACK UP

Jana, match ya SENEGAL & CONGO

Mpaka kufkia dakika ya 20 ngoma ilikuw 0-0

Nkaona isiwe kesi maana Congo wailkaza

kichz nkaweka stake ya Elfu 63166(1half under 1.5)

Yan ile nimemalza kuconfirm [emoji23][emoji23][emoji23] Senegal dakika ya 24 hivi katupia, nkatulia sijakaa kidgo dakika ya 28 hv katupia lingne
Ngoma ikawa IMELOOSE,

Nikiangalia live betting sion tena match ya pesa pale

Nkajikopa Elfu 70000[emoji53] kwenye wining ya juzi nkaweka multbate usiku kuamkia leo Brazil seria A & B

Ngoma ikatiki

STAKE Elfu; 70000 WON Laki 139090
[emoji116][emoji116]
Nkarudisha nilojikopa;Elfu 70000

My yesterday innitial Amount; Elfu 30000

Faida niliyo ingiza siku ya jana; Elfu 39000

[emoji117]Sasa hivi nimekuja na Plan Work

Only KUINGIZA ELFU 35000 DAILY TO MY ACC.

PER MONTH= inakuw M 1 na Elfu 50000

Hyo Elfu; 50000 Inaingia kwenye BACK UP ACC. Na sizigusi in case AM LOOSE ndo znafanya kazi,

[emoji23]kiutan utani start count my DAILY earning Sasa,
Nimeanza kuhesabu Jana

Today is Day 2;

[emoji855]kila MTU na kichwa chake usipooona hyo plan haina tija kwako, barida

Screenshot_20191114-064401.jpeg
Screenshot_20191114-064350.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20191114-064350.jpeg
    Screenshot_20191114-064350.jpeg
    37.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20191114-064350.jpeg
    Screenshot_20191114-064350.jpeg
    37.8 KB · Views: 16
kwa wale wapenzi wa kubeti kupitia meridianbet,nina ujumbe wenu.

jamani tafadhalini,kama una hela na unataka kubeti kupitia meridianbeti,sikushari ufanye hivyo maana ghafla wamekuwa matapeli,nime deposit 30000 ili niweke timu zangu za uhakika tokea tarehe 3/11 pesa ikapotea.

nikawasiliana na vodacom,wakajibu wao walishawafikishia hiyo pesa meridian,niwatafute meridian.nikawatafuta instagram,imail,wakaniambia niwatumie sms za uthibitisho nikatuma,nisubiri saa 72 sikuona pesa.nikaanza upya kuwataarifu wakaniambia tena nitume sms kwa kisha nisubiri saa 72,nikatekeleza na kusubiri saa 72,sijaona hela mpaka leo.

ikabidi nitumie simu ya mkononi,hawapokei simu,nimejiunga dakika 30 nasikilizishwa matangazo mpaka zinaisha simu hawapikei.nikaongeza nyingine 30 labda wametingwa na wateja bado hawakupokea,hapa ndipo mzee mzima nikajua ni rasmi sasa nimetapeliwa hela yangu.

kama kuna njia nyingine za kudai hiyo pesa tusaidiane jaman makamalia wenzangu,nadhani mnafahamu ni jinsi gani shilingi mia 200 ni kubwa kwenye huu mchezo achia mbali elfu 30.
 
Dah! Pole sana mkuu,
 
Wakuu wa tennis tudeal ATP CHALLENGE over 2.5 inatoa san kwa hawa wakubwa ukiwapatia watatu odds 10 unazo au over 20.5 lkn bor 2.5 ina odds nyingi cz weng wanafika set 3 ni hayo maoni yangu [emoji1317]
Hv mbona hyo ova 2.5 sijaziona bt naona game nyingi no ova 20.5,22.5 nk
 
Kuwa mpole mkuu ayo ni matatizo ya kimtandao tu mm premee bet mwaka juzi 90000/= ilikaaa hewani miezi mitatu siku naamka tu nakutana na meseji pesa imerudi
kwa wale wapenzi wa kubeti kupitia meridianbet,nina ujumbe wenu.

jamani tafadhalini,kama una hela na unataka kubeti kupitia meridianbeti,sikushari ufanye hivyo maana ghafla wamekuwa matapeli,nime deposit 30000 ili niweke timu zangu za uhakika tokea tarehe 3/11 pesa ikapotea.

nikawasiliana na vodacom,wakajibu wao walishawafikishia hiyo pesa meridian,niwatafute meridian.nikawatafuta instagram,imail,wakaniambia niwatumie sms za uthibitisho nikatuma,nisubiri saa 72 sikuona pesa.nikaanza upya kuwataarifu wakaniambia tena nitume sms kwa kisha nisubiri saa 72,nikatekeleza na kusubiri saa 72,sijaona hela mpaka leo.

ikabidi nitumie simu ya mkononi,hawapokei simu,nimejiunga dakika 30 nasikilizishwa matangazo mpaka zinaisha simu hawapikei.nikaongeza nyingine 30 labda wametingwa na wateja bado hawakupokea,hapa ndipo mzee mzima nikajua ni rasmi sasa nimetapeliwa hela yangu.

kama kuna njia nyingine za kudai hiyo pesa tusaidiane jaman makamalia wenzangu,nadhani mnafahamu ni jinsi gani shilingi mia 200 ni kubwa kwenye huu mchezo achia mbali elfu 30.
 
14-11-2019 my tips "Euro 2020"

Turcja - Islandia (Typ) 1 1.72

Czechy - Kosowo (Typ) 1 1.64

Serbia - Luksemburg (0:1) (Handicap) 1 1.43

Albania - Andora (0:1) (Handicap) 1 1.54
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unatudaii kuwa mpole
ni hatari sana kufanya kazi na wapuuzi aisee.

unapiga simu mtu anakwambia ndio unawekewa,unakausha masaa 48 yajayo huoni hela,unapiga simu uwataarifu dakika 30 unasubiri mpaka dakika za ofa zinaisha hujaongea na mhudumu.

halafu niendelee kuwabetia na kuwapa promo!!!nitakiwa naumwa.
 
Back
Top Bottom