BIG RISK BUT BOOOM!!!!
Once; ile Elfu 50000 nlo win nkajatupia
Nilistake match ya Myanmar vs Tajkstan over 1.5 kwa 16000 ikatiki 20800
Saaa kimbembe kuna Match ya Armenia vs Ireland U21
hii match niliipapukia nkatmia uzoefu bila kwenda kureason kupreview previos forms
maan match za U21 nyng znatoa
over1.5ft, Elfu 34000 hivi ilobaki nkaipa hii
match. Over 1.5 maana ilkuw hata haijaanza(pre-match)
Ngoma ikaisha 1st half 0-0[emoji51]
Akili ikagonga ngoja nkaangalie previous
statistics ya hiz team [emoji23][emoji23] ndo nikajua nimeingia EXIST, maana match ya mwsho
Ireland alimpa kamoja tu Armenia na yuko kwake je? ugenini[emoji855]
akili ikauma nkarudi kuangalia odds option
Under 1.5FT sasa nkakuta odds ile imeshiba [emoji23][emoji23][emoji23] et! under 1.5ft odds 1.57
Na dakika nkiangalia ni ya 50 na ngoma imeisha 0-0 1half
Nkajikopa Elfu 80000 plus ile ya Myanmar ilotiki Elfu 20800 Jumla ikaja Laki 100000
[emoji117]Nkaweka STAKE ya Laki moja100000
[emoji117]Won ikaja 152000
[emoji117]Nkatoa nilojikopa kwanza Elfu 80000
[emoji724]Ikabaki Elfu 72000
[emoji23]sasa hivi ndo nafunga mahesabu ya siku
[emoji117]Faida Nkatoa Elfu 35000
[emoji117]ikabaki 37000
Elfu 30000(daily initial amount)
Elfu 7000(out budget sema hii ndo imeshuka buku 2 maana out of budget ilkuwa Elfu 9000)
[emoji23][emoji23] ndo Imeisha ivo kama tunavoliwaga
dakika za nyongeza,
Hyo buku 7 out of budget naiheshim sana kubwa sana hyo ngoja nichimbue za multbet nije tushare nii sacrifice hata buku 5 ya out of budget
[emoji855]Lesson; try to change negativness to postvness,, never give up early
