Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna uhakika kwenye kubeti ila kuna Imani tu.
Uhakika ungelikuwepo makampuni yangelifilisika...
Kwakua Hakuna uhakika Hakuna haja ya ku bet ya mtu ukila fresh Ila ukipigwa Hakuna option zaidi ya kulipa sasa kuna haja gani kuingia gharama zinazoepukika madeni yaliyosababishwa na tamaa

Kila siku Tunasema bet hela unaweza ku afford
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…