Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji124]
Screenshot_20191123-070427~2.jpeg
 
upuuuzi alio ufanya jana Dortmund mpka mzuka wa kubet leo haupo kabisaa..................kuna haja ya kuanza banning ya team kama msimu uliopota
Screenshot_2019-11-23-08-38-10-578_co.codemind.meridianbet.tz.jpeg
 
Wadau wa betpawa tushtuane selcom ikitengemaa ili tuweze kudeposit
 
Ayaa sasa ice hockey kaanza kuelewa somo
Alafu kuna watu wabishi sanaaa mkiambiwa kampuni ni premer bet watu hawaelewi kabisaa
Leo hapa nimepiga odds 89.2x 2000= 178400/=
Bado hujakatwa kodi hapo 18%
Ila mm kwa odds izo 89.2 nimepata zaidi ya 178000

Ice hockey ataelewa nataka nn
20191123_105951.jpeg
 
Ayaa sasa ice hockey kaanza kuelewa somo
Alafu kuna watu wabishi sanaaa mkiambiwa kampuni ni premer bet watu hawaelewi kabisaa
Leo hapa nimepiga odds 89.2x 2000= 178400/=
Bado hujakatwa kodi hapo 18%
Ila mm kwa odds izo 89.2 nimepata zaidi ya 178000

Ice hockey ataelewa nataka nnView attachment 1270002
Hongera Sana Mkuu Hockey Inalipa Ila Jana Niliangushwa Na Over 5.5 moja NHL

Usisahau Kushare Nasi Leo
 
Ajax win
Buyern win
Liverpool win
Man city win
Barcelona win

Odd 4.02

Lolote linaweza tokea stake which u can afford to lose
 
Back
Top Bottom