kibombonya
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 326
- 572
Dot kachomoa betri! ***** kbsa uyu[emoji34]
Booom mkeka umetiki huo subiri tu hela hapoBado goli moja tu umpige mhindi kwenye mkeka hapo
Jilipue mwenyewe tu Mkuu,Betting ni hatari sana umeona Dortmund alichofanyiwa usiku huu Be carefully sana.Wakuu nina 500K kuna manunuzi jtatu inatakiwa niyafanye kkoo ya hiyo pesa na nitume mzigo mkoani.
Sasa kabla ya kufanya hivo naombeni Odd mbili tuu (2 Odd) ili na me nibaki hata na 500KView attachment 1269625
mkuu kwako betpawa haisumbui?,.mimi toka jana wanasema wanafanya maintenanceKwa mara ya kwanza napata usumbufu kwenye kudeposite tangu nimeanza kutumia betpawa
Wakuu nina 500K kuna manunuzi jtatu inatakiwa niyafanye kkoo ya hiyo pesa na nitume mzigo mkoani.
Sasa kabla ya kufanya hivo naombeni Odd mbili tuu (2 Odd) ili na me nibaki hata na 500KView attachment 1269625
Hii ni betting mkuu usiWakuu nina 500K kuna manunuzi jtatu inatakiwa niyafanye kkoo ya hiyo pesa na nitume mzigo mkoani.
Sasa kabla ya kufanya hivo naombeni Odd mbili tuu (2 Odd) ili na me nibaki hata na 500KView attachment 1269625
Leo inazingua ila wamesema, ukiifungua tu unakutana na tangazo laoKwa mara ya kwanza napata usumbufu kwenye kudeposite tangu nimeanza kutumia betpawa
Wakuu nina 500K kuna manunuzi jtatu inatakiwa niyafanye kkoo ya hiyo pesa na nitume mzigo mkoani.
Sasa kabla ya kufanya hivo naombeni Odd mbili tuu (2 Odd) ili na me nibaki hata na 500KView attachment 1269625
Poa mkuu, nitag tafadhaliwakuu kwema?
leo uck nitadondosha Multbet ya NBA' kwahiyo andaeni mastake tu.