Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,750
Dortmund kafa 3
3 hizooooFull Time anashinda wala usiofu
Kishatmbwaaaa uyoo tugange la jayoFull Time anashinda wala usiofu
Kishatmbwaaaa uyoo tugange la jayo
Hahahahahahahahah ngoja tuone huu uchawi hahahahahahahahah goli 4 hahahahahahahahahBado naona BVB akishinda hiyo game
ndio maana huwa sishoboki na normal mimi.hiyo odd aliyopewa haifai hata kukwangulia vocha saa hizi half t keshaoga yeyye 3[emoji23][emoji23][emoji23]Kishatmbwaaaa uyoo tugange la jayo
Duhhh kubabek kila nikibet lazma kun mchawi atachana tuu DortmunddAisee[emoji2960][emoji2960]
Niliweka timu 5, hizo nne upepo mtamu kabisa,na zina odd 2+ kila moja,sasa huyu BVB alikuwa na 1.26 ndio anachana.kweli uchawi upo.halafu home.Duhhh kubabek kila nikibet lazma kun mchawi atachana tuu Dortmundd
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila nilimla kanji analudsha psa akendugu mgeni rasmi mbele yako ni dortmund club.
hahah...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila nilimla kanji analudsha psa ake
twende na yesu hapooooView attachment 1269466
Mimi alikuw 1.15 lkn anachofanya dah ataninyima hela nying kwa state kubwa bt kweny mkeka wa over nasubir kesho na ksh kutwa km akishinda mtajua nauweka mkeka namin yy ndio mchawNiliweka timu 5, hizo nne upepo mtamu kabisa,na zina odd 2+ kila moja,sasa huyu BVB alikuwa na 1.26 ndio anachana.kweli uchawi upo.halafu home.