Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Mpka ln maemae kun mpnga wng mrefu xn sjtoaNaona kama weekend hii 2+ za kumwaga mpaka betpawa kastuka kaogopa kuliwa atarudi hewani jumatatu
Mpka ln maemae kun mpnga wng mrefu xn sjtoaNaona kama weekend hii 2+ za kumwaga mpaka betpawa kastuka kaogopa kuliwa atarudi hewani jumatatu
jaman eeh kuna group la whatsap la jackpot hilo group tutakuwa tunachambua match za jackpot tu kila mmoja anabashir match moja iwe ya gsb au bet pawa kwa kushirikisha utabir wa wengi nahisi tunaweza tukawa tunaokota japo kidogo karibuni, nashindwa kuweka link hapa if u r interested on it r welcom, tupia namba pm, nikuunge faster
Acha kumdhihaki mwenyezi Mungu. Kila mtu kaumbwa na Mungu kwa jinsi alivyo. Tuache dharau zisizo na msingi, kwani alipenda awe hivo, mbona tunakosa ubinadamu[emoji57][emoji57]Hayo ni manyonyo au nini?[emoji13][emoji13][emoji13]
Watu kama hawa ni wa kuondoa kwenye uzi, inaonesha uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kiasi cha dhihaka kwa Mwenyezi Mungu, pumbavu kabisaAaaah! Kwa hiyo tunawekeana limit ya kusema?
Tujadili kwanza aysee hayo manyonyo ananyonyeshaga nini?[emoji13][emoji13][emoji13]
Natania tu mkuu hawawez fika j3 watarud faster maana nao weekend ndio cku za kuvunaDu mpaka j3 hii hatar
Mimi natumia Betpawa Web yao haifanyi kazi hivyo siwezi kuziona kwa sasa. Ila kuna game kama 4 juzi ziliniingizia Laki 4. na leo nilikuwa nazivizia sinachezwa saa 2:35pm.Mkuu Tupiamo Humu Tupitie Kwa !meridian
Wakuu hii wekend nataka odd mbili tu, kata ya game 1005 zitakazocheza
Mambo ya tamaa mbele mauti nyuma sitaki
Mbona ipo hewaniMimi natumia Betpawa Web yao haifanyi kazi hivyo siwezi kuziona kwa sasa. Ila kuna game kama 4 juzi ziliniingizia Laki 4. na leo nilikuwa nazivizia sinachezwa saa 2:35pm.
Mungu gani?Acha kumdhihaki mwenyezi Mungu. Kila mtu kaumbwa na Mungu kwa jinsi alivyo. Tuache dharau zisizo na msingi, kwani alipenda awe hivo, mbona tunakosa ubinadamu[emoji57][emoji57]
Pia kuna game nyingine za Basket za Bayern - PanathinaikoMimi natumia Betpawa Web yao haifanyi kazi hivyo siwezi kuziona kwa sasa. Ila kuna game kama 4 juzi ziliniingizia Laki 4. na leo nilikuwa nazivizia sinachezwa saa 2:35pm.
Kwangu mimi - ipo hewani kwenye games za Live na Popular tu. Home inagoma ambapo ingenifikisha kwenye game za Basket. Leo pia kuna timu kama Bayern, Spojnia,Fenebahce, Kirolbet, FC Barcelona na Madrid hizi zote leo zinashinda kwa magoli 90+ au FT>180Mbona ipo hewaniView attachment 1269035
Mimi natumia Betpawa Web yao haifanyi kazi hivyo siwezi kuziona kwa sasa. Ila kuna game kama 4 juzi ziliniingizia Laki 4. na leo nilikuwa nazivizia sinachezwa saa 2:35pm.
Jiunge freeemason....natania..Ni kuvhungulia mkuuu sure games zipo Sana ijumaaa jmos na jpili halafu na kujua sifa za ligi mfano check.gibartlar Switzerland kufungana kawaida.spain.america kusin more goals second half au 28+Tupe siri ya mafanikio mkuu
Asante MkuuMimi natumia Betpawa Web yao haifanyi kazi hivyo siwezi kuziona kwa sasa. Ila kuna game kama 4 juzi ziliniingizia Laki 4. na leo nilikuwa nazivizia sinachezwa saa 2:35pm.
web imeanza kufanya kazi mda huu,.ingia aisee usikose elaMimi natumia Betpawa Web yao haifanyi kazi hivyo siwezi kuziona kwa sasa. Ila kuna game kama 4 juzi ziliniingizia Laki 4. na leo nilikuwa nazivizia sinachezwa saa 2:35pm.
Sawa kaka Nime kinote kieneoDah kanji wa Parimatch kaondoka na mtaji wangu wote,yani nilisuka jamvi then pale kwenye kuweka stake niliweka Lakn niplace bet inagomagoma mara wakati nahangaika kuchange stake ndo nikabofya Hapo kwenye neno Max bla kukusudia kisha nikaplace bet na ikakubali Alafu nikchek salio pale juu kuna zerozero tu.Kumbe pesa yote amabayo ni 20k ililipia lile jamvi mbaya zaid jamvi halikutiki wala nni so tuwe makini na hko kieneo .