Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Odds 14. Wenye ROHO NGUMU TWENDE KAZI, FRIDAY ONLY
IMG_1134.JPG


LINK: Live betting odds on betPawa.co.tz
 
Alikua tayari anaongoza moja nikaweka yeye ndiyo ashinde kipindi chote cha kwanza na ikawa hivyo lakini bet Lost.
hiyo option inaanza kufanya kazi pale unapo place bet haijalishi matokeo yalikuwaje kabla ya kuplace bet
 
Wadau wa mabehewa mizigo hiyo. Chambua and stake what u can afford to lose
 

Attachments

  • sp1.PNG
    sp1.PNG
    21.6 KB · Views: 18
  • sp2.PNG
    sp2.PNG
    5.9 KB · Views: 14
Wakuu hii wekend nataka odd mbili tu, kata ya game 1005 zitakazocheza
Mambo ya tamaa mbele mauti nyuma sitaki
 
Wakuu hii wekend nataka odd mbili tu, kata ya game 1005 zitakazocheza
Mambo ya tamaa mbele mauti nyuma sitaki
Arsenal 1x
Totte 2x
Man City over 1.5
Dortmund over 1.5
Barcelona 2x
RB Leipgz over 1.5
Liverpool over 1.5
Gent over 1.5
 
Naona kama weekend hii 2+ za kumwaga mpaka betpawa kastuka kaogopa kuliwa atarudi hewani jumatatu
 
Back
Top Bottom