Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Hukuielewa hiyo option. Kama ilikua 0-1 na wewe ukanogewa na odds umeliwa. Who wins the rest of first half maana yake nani atashinda kwa muda ulipbaki wa kipindi cha kwanza baada ya matokeo hayo ya 0-1? Hapo una ashumu 0-0 kama ulichagua wa ugenini ilibidi apate goli tena au kama ungechagua wa nyumbani na akapata goli na Halftime ikawa 1-1 ungekua umeshindaAlikua tayari anaongoza moja nikaweka yeye ndiyo ashinde kipindi chote cha kwanza na ikawa hivyo lakini bet Lost.
Kwa sababu mshindi amepatikana baada ya hayo matokeo ya awali kabla hujabeti