Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

KANJI JANA ANA BAHAT AISEEE
Mkuu suka wa leo
LEO SURE GAMES SIZION MKUU...JANA KAPONEA CHUPUCHUPU
PhotoEditor_20191120_063122164.jpg
PhotoEditor_20191120_063026912.jpg
 
Hakuna ligi ngumu kutoa magoli km Kontinental Hockey ya Russia, labda mweleze vzr ni ligi ipi unayoongelea kwa ninavyojua labd ligi za chin km VHL na minor hockey at least ndo hutoa sana BTTS. League nzuri kwa BTTS ni Finland, norway , Austria, German, NHL ya USA, Slovakia, Czech, Swiss na nyngne lkn kwa Russia hiyo Kontinental ogopa mkuu. ONLY ADVICE
Hb option ya BTTS inamaanisha nn pia kina ile ya handcap. Msaada tutani
 
Hivi match ikiwa cancelled kabla ya dk 90 kinachofata ni nini kwa stake ulizoweka?
 
premier leo walinipigia simu wanasema kesho wana kikao na mimi naombwa kuhudhuria baada ya hapo nmetaka kubet hawapatikani ni mimi tu au tupo wengi...
 
premier leo walinipigia simu wanasema kesho wana kikao na mimi naombwa kuhudhuria baada ya hapo nmetaka kubet hawapatikani ni mimi tu au tupo wengi...
Jamaa wamefunga mitambo nini. Nimewala jana sijatoa hela saivi hawapatikani mtandaoni
 
Back
Top Bottom