Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Wadau kuna kampuni ya kitanzani ambayo haina kodi kabisa? I mean nikiwa na odds 1.56 kwa stake ya 10,000 nipate cash 15,600.
Mi binafsi kulipa kodi kwa mkeka siwezi, inaniuma sana. Yaani unachapwa mikeka mi3 mfululizo na mhindi, ukija kumchapa wewe, serikali iko na wewe kwenye 20%. Siwezi mimi.