Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau hapa nitatoka?
Screenshot_20191119-124500_SportPesa.jpeg
 
Wakuu mi nimejaribu kuwafuatilia kwa ukaribu hawa SOCCER VISTA wako vizuri sana analysis zao na prediction ni 97% kwa mimi nilivyoona hawa jamaa ni [emoji91][emoji91][emoji91] tuwatumie hawa wanajua wanachokifanya
 
Nakubaliana nawwe. Kwan katika zile team 8 wanazotoa ambazo wanazipa namba 10 basi huwa zinafanya vizuri sana bt nilochogundua ni kwamba ili upge pesa unabidi uweke mbili mbili na usiwe na tamaa ya kuweka zote 8 ktka jamvi moja
Binafsi huwa nachukua kuanzia ijumaa mpakaz jpili
 
bila shaka watakuwa wamekupa code ambazo unaweza kuzitumia kubet hiyo bonus yako
chagua odds ya kuanzia 1.8 kisha place bet yako kwa kutumia bonus
Hapana ,1xbet huna Wana bonus ambayo wanaitoa pale mtu anapo weka kiasi fulani Cha pesa kwenye account, hivyo hawaweki code ni pesa unaiona kwenye account maalum ya bonus lakini huwezi kuitoa
 
Nakubaliana nawwe. Kwan katika zile team 8 wanazotoa ambazo wanazipa namba 10 basi huwa zinafanya vizuri sana bt nilochogundua ni kwamba ili upge pesa unabidi uweke mbili mbili na usiwe na tamaa ya kuweka zote 8 ktka jamvi moja
Binafsi huwa nachukua kuanzia ijumaa mpakaz jpili
Kabisa ndugu yangu maana wakiweka mechi 8 au 9 basi huwa zinachana mbili au tatu tu na zenyewe ukiangalia upande wa magoli yaani O/U huwa zinakuwa zipo correct kwa asilimia hizohizo 97

Kama ulivyosema ni kuchukua mechi mbili mbili tu za siku tano mfululizo winning nje nje
 
Hii mechi ya niger vs madagscar, mnaionaje nataka nimpe double chance Madagascar 2x
 
Hapana ,1xbet huna Wana bonus ambayo wanaitoa pale mtu anapo weka kiasi fulani Cha pesa kwenye account, hivyo hawaweki code ni pesa unaiona kwenye account maalum ya bonus lakini huwezi kuitoa
hapo unatakiwa u-Turnover hiyo bonus mara 3
 
cha kufanya, set account yako ya bonus kama default a/c ya malipo ya bet zako
kila bet unayoweka iwe na angalau timu kuanzia tatu na kwa kila timu ianzie odds 1.40
 
Kabisa ndugu yangu maana wakiweka mechi 8 au 9 basi huwa zinachana mbili au tatu tu na zenyewe ukiangalia upande wa magoli yaani O/U huwa zinakuwa zipo correct kwa asilimia hizohizo 97

Kama ulivyosema ni kuchukua mechi mbili mbili tu za siku tano mfululizo winning nje nje
Kwahyo mnabandikaga kama ilivyo ama unajiongeza mkuu
 
npo huku ice hockey BTTS ni lazima yaani,mkeka mech 8 zote zinatoa,pia basketball cheza NBA over 212 lazima itoe,achana na ile NCCA cjui imenichania sana ile!!
Hongera Mkuu !imi Napambana Na Hockey Tu Mambo Sio Haba

League Ya USA (NHL) Inatoa Sana Over 4.5 Hadi 5.5 Pita Humo

Na VHL Ya Russia Na Sweden Ligaens Zote Over 4.5

BTTS Ni Must League Hizo Juu

Ila Strategy Yako Ya Under 7.5 Nitaifuata Naona Iko Vizuri
 
Mkuu hapo ni kama sehemu ya kupata mwanga tu tips zao ni nzuri na zinafaa kubeti ila ndo hapo jamaa mmoja comments za juu kasema ni vizuri usiwe na tamaa ya kuweka kwenye mkeka mechi zote wanazopredict ni bora ukazichambua chache unazoona zinafaa na ukapitia webste zingine kupimanisha zaidi

Kumbuka hii ni betting kwahiyo lolote laweza kutokea
Kwahyo mnabandikaga kama ilivyo ama unajiongeza mkuu
 
Africa Cup of Nations, Qualification
Zambia - Zimbabwe
Pick - X
Odds 3.20

Stake very wisely[emoji6]
 
Back
Top Bottom