Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betting bana siku umeyokata tamaa, ndio timu zinawekana magor,

Leo europa zote over 1.5 imetoa
 
Game za saa4dk45 dk45
Sweden
Norway
Spain
Italy
Zote una weza weka over 2.5


Ama
Sweden win & over 2.5
Norway win & over 2.5
Spain totals over 2.5
Italy win & over 2.5
Kwa tips hizi zote zime toa alie fuata bas tuseme Asante khanjubah
Screenshot_20191119-025146~2.png
 
Play single n combine double
*DRW OF THE DAY*
EXETER
WALES
Romania u21
*ALL D BEST*
 
Wakuu naomba msaada namna ya kutumia bonus ya 1xbet sijawahi kutumia,.wiki iliyopita nilireject bonus ya shilingi 49000/= Jana nimemwelewa bonus ya 17000=
 
Wakuu naomba msaada namna ya kutumia bonus ya 1xbet sijawahi kutumia,.wiki iliyopita nilireject bonus ya shilingi 49000/= Jana nimemwelewa bonus ya 17000=
bila shaka watakuwa wamekupa code ambazo unaweza kuzitumia kubet hiyo bonus yako
chagua odds ya kuanzia 1.8 kisha place bet yako kwa kutumia bonus
 
Back
Top Bottom