Issakson makanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 876
- 1,476
Dawa y kanji nmeipta
IPI hyo Mkuu twambieeeeDawa y kanji nmeipta
Posible win zote tia double chance odds 2 anzia jero kl cku chez mala 2IPI hyo Mkuu twambieeee
Imekuaje ?
mbona wapo vizuri mkuu, japo mimi siwatumii kwa sasaLeo ndio nahama princessbet rasmi, nimevumilia nimeshindwa. Kila siku mtandao unasumbua wao tu, mara cloudflare sijui nini! Ndio kusema wanaelemewa na wateja! Simu zenyewe hawapokei na wanabadilisha namba kama malaya anayeogopa kugonganisha.
Italy muangalieni sana kwa options ya ov 2.5Game za saa4dk45 dk45
Sweden
Norway
Spain
Italy
Zote una weza weka over 2.5
Ama
Sweden win & over 2.5
Norway win & over 2.5
Spain totals over 2.5
Italy win & over 2.5
Mimi nimewahama toka juzi baada ya kuondoa bonus.Leo ndio nahama princessbet rasmi, nimevumilia nimeshindwa. Kila siku mtandao unasumbua wao tu, mara cloudflare sijui nini! Ndio kusema wanaelemewa na wateja! Simu zenyewe hawapokei na wanabadilisha namba kama malaya anayeogopa kugonganisha.
Ashatupia 2 ndani ya dakika 10 huyo.Italy muangalieni sana kwa options ya ov 2.5
Ulie kua na mashaka nae Kesha fanya kwel bado hao wapuuuzi wengne japo wanaongoza goal 1Italy muangalieni sana kwa options ya ov 2.5
Okay nime jaribu mara kadhaa option nayo ona inatoa sana ni over 4.5 chagua league ambazo wastan wa kufungana ni mkubwa nasubiri wekeend nifanye mamboNipo nafanya majaribio kwa vitendo kwenye huu mchezo wa ice hockey naona upo vizuri sanaa kuna uwezo wakutengeneza mkeka ukatoa vizur
View attachment 1266225
Huwa mnabet kwa majina ama!! Tumia takwimu sasa kama Egypt anadraw home na Kenya na Comoro takwimu zake ziko vizuri home inakuwaje unakurupuka kumpa Egypt win???misiri i ni kumamae kabisa
Hongera Mkuu !imi Napambana Na Hockey Tu Mambo Sio HabaNipo nafanya majaribio kwa vitendo kwenye huu mchezo wa ice hockey naona upo vizuri sanaa kuna uwezo wakutengeneza mkeka ukatoa vizur
View attachment 1266225
Hongera Mkuu !imi Napambana Na Hockey Tu Mambo Sio Haba
League Ya USA (NHL) Inatoa Sana Over 4.5 Hadi 5.5 Pita Humo
Na VHL Ya Russia Na Sweden Ligaens Zote Over 4.5
BTTS Ni Must League Hizo Juu
Ila Strategy Yako Ya Under 7.5 Nitaifuata Naona Iko Vizuri