Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Boooooooom vs UNBOOOOOM
Screenshot_20191120-004957.png
Screenshot_20191120-004851.png
Screenshot_20191120-004920.png
Screenshot_20191120-004851.png
Screenshot_20191120-004920.png
Screenshot_20191120-004920.png
 
Wadau kuna kampuni ya kitanzani ambayo haina kodi kabisa? I mean nikiwa na odds 1.56 kwa stake ya 10,000 nipate cash 15,600.
Mi binafsi kulipa kodi kwa mkeka siwezi, inaniuma sana. Yaani unachapwa mikeka mi3 mfululizo na mhindi, ukija kumchapa wewe, serikali iko na wewe kwenye 20%. Siwezi mimi.

Parimatch
 
Huuuu nilishare humu mapema mpaka kuna mdau akacomment Brazil utasikia kasare yaaan odds 100+ zimeniuma
PhotoEditor_20191119_084140127.jpg
 
Hakuna ligi ngumu kutoa magoli km Kontinental Hockey ya Russia, labda mweleze vzr ni ligi ipi unayoongelea kwa ninavyojua labd ligi za chin km VHL na minor hockey at least ndo hutoa sana BTTS. League nzuri kwa BTTS ni Finland, norway , Austria, German, NHL ya USA, Slovakia, Czech, Swiss na nyngne lkn kwa Russia hiyo Kontinental ogopa mkuu. ONLY ADVICE
Hiyo BTTS ni kwa jumla au kwa kwa kipindi?
 
Wadau kuna kampuni ya kitanzani ambayo haina kodi kabisa? I mean nikiwa na odds 1.56 kwa stake ya 10,000 nipate cash 15,600.
Mi binafsi kulipa kodi kwa mkeka siwezi, inaniuma sana. Yaani unachapwa mikeka mi3 mfululizo na mhindi, ukija kumchapa wewe, serikali iko na wewe kwenye 20%. Siwezi mimi.

Parimatch
 
Hiki ndo nini mkuu kama sio matumizi mabaya ya mida na bando aisee hivi haikuumi hapo kama ungetupia buku tu
Mkuu kuna mtu nilishare hizo kapiga mimi nilipanga kutia mzigo hapo...LAKIN MAJINI ya kanji haya we acha tu nikaenda okota pembe ya ndovu
 
Thanx ndg kwa ushaur
Usibet tu ndugu, kama hukuwahi bet basi acha tu. Huku kuna people tunataka kuacha but tunashindwa. Hii ndoa ya betting ni ngumu kuchomoka. But hii ni at your own risk. Kama umejipanga pitia huu uzi katika comments za nyuma walizochangia wadau, unaweza pata pa kuanzia
 
Penguins - New York Islanders

Hockey tip
Ft X 4odds 💚💚💚

Blue Jackets - Montreal Canadiens
Hockey tip
Ft X. 4odds 😡😡😡
 
Back
Top Bottom