Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daaah betting pasua kichwa , kuna mkeka nahitaji 2+ ya liver na mwingine 2+ ya Leicester !!! Wote first half 0-0 [emoji848][emoji848][emoji2955][emoji2955]
 
Hilo swali nimewahi kujibiwa hapa ila samahani nimesahau jibu, kampuni gani ya kubeti ambayo kuna option ya "non accumutation" yaani nikibeti timu 6 ila 2 zikaja tofauti nilipwe kwenye timu 4 nilizopatia. Sportpesa, betpawa na mbet naona hawana hiyo option.
 
Naona leo EPL Team zilizo away simefanya kweli amebaki chelsea siku iende vizuri
 
Aise nimekoma kuangalia game niliyo betia game ya arsenal na Southampton ilikuwa hatari yani wangeweza kushinda hata goli tano!!ila all in all safii home team 2+ sasa bado inter
 
Aise nimekoma kuangalia game niliyo betia game ya arsenal na Southampton ilikuwa hatari yani wangeweza kushinda hata goli tano!!ila all in all safii home team 2+ sasa bado inter
AC Milan vs Napoli niliweka 250,000/= nikasema Milan anashinda (wametoka draw) hela imeenda aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…