Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Daa jana
EPL game zote 2+
BUNDESLIGA zote 2+
SERIE A zote 2+
LA LIGA zote 2+ na zote GG
NETHERLAND zote 3+
 
Weken mkeka wa Leo jumapili wakuu
TWENDENI NA UPEPO MZURI WA JANA
1.Sheff VS Man Utd 3 WAY HANDICAP (Man U +2) 2
2.AS Roma VS brescia Over 1.5
3. Sassuuolo VS Lazio Over 1.5
4. Hoffeinheim VS Mainz 05 Over 1.5
5.Bourdeux VS AS Monaco 1H Under 2.5
6. Sion VS Young Boys Over 1.5
7. Porto VS Vitoria Setubal 1
 
Naweka 50K ushauri tafadhali
 
Unaangaliaje mkeka ulioweka mana nimeweka mkeka ila haufunguki tena kuona matokeo ya kila mechi, wanaonyesha lost na won tu ila hizo mechi ndani ya mkeka huo hazifunguki..nimetumia ID ya mkeka bado mechi sizioni
Nenda my bet
Unaweza kuset unataka kuona mikeka ya kuanzia lini hadi lini
Kisha bofya mkeka utafunguka na utaona details zote
 
sawa sawa mzee wa fixed naona big win imetokea
 
LIVE IKULU CHAMWINO;- Bodi ya michezo ya kubahatisha imetoa gawio kwa serikali BILIONI 95.
Bodi ya Michezo ya kubahatisha imetoa Gawio la Bilioni 95 kwa Rais Jumapili hii
Halafu bado kuna wapuuzi wanasema kamari dhambi mara ooh fanyeni kazi..na wakati hizo pesa na wao wananufaika kwa namna moja au nyingine kwenye huduma mbalimbali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…