Sad Larry
JF-Expert Member
- Jun 17, 2019
- 414
- 558
[emoji855] UMEONA KWENYE HIYO SCREENSHOTHebu amka kwanza usije ukajikojolea [emoji23][emoji23][emoji23]
KUNA MABOMU MAWILI YA MAANA SO STAY TUNE UONE NAKOJOAJE LEO
[emoji855] UMEONA KWENYE HIYO SCREENSHOTHebu amka kwanza usije ukajikojolea [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado unajuta hukumua mapema[emoji23][emoji23][emoji23]
Odds za usiku wamanane tukutane sa 23:30usa vs canada usiku wa maneno hiyo noumer maana mech ya awal usa alikula kichapo na akiloose hiyo ndiyo basi tena unasemaje hapo mkuu nitupie mzigo au manyoya na vimechi viwili au kimoja vya brazili huko vipo around saa saba usiku hivi navyo si vibaya sana kuwekeza
[emoji855] kama mkamaria mzoefuu hii game niilichimba vyemaa na ipasavyo
Ila nachojua AFRICA IS ONE matokeo ni Yale Yale tuu kama mech nyngne(pressure games)
So NIMELOOSE
STAKE; Elfu 4000 Expect won ilkuw Elfu 20000
[emoji23]ulifkr nimewek stake ya 40000 hata hyo buku 4000 ilkuw ubadget so sijaloose ktuView attachment 1263968
Unacheka kiushabiki au mkamaria mwenzio nime loose game???
Kama unacheka kiushabiki bas mwenyew mtz najivnia taifa langu limechomoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Na kama unanicheka as mkamaria mwenzio nimeloose stake [emoji855][emoji855] hatuko ivo jirekbshee ungkuja kuniulza why,??? Nimeamua kumpa Away Win may be ingekup experience
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakamaria wa kibongo tuna husda na inda yaan mtu ukimla kanji ukashare hapa kutuinspire tunaoliwa daily wachaw humu wanajiuliza kekofanicha ataliwa lini na siku ukiliwa tu wanga wenyewe wanajitokeza[emoji23]sijutiiii ila najipongza at least 60% of my thinking capacity to the game its works
Wakamaria wa kibongo tuna husda na inda yaan mtu ukimla kanji ukashare hapa kutuinspire tunaoliwa daily wachaw humu wanajiuliza kekofanicha ataliwa lini na siku ukiliwa tu wanga wenyewe wanajitokeza
Inakubali kupokea pia Steve???Airtel mastercard.
BOOOOOOOM!!!! kama ulitemblea nyota sasa HV tutakuwa tunacheka wotee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naomba match ya England ikamilk FT tuu msubiri screenshot za malipo tuheshimiane kbsaaTODAY BET TIPS
[emoji666]EURO QUALIFICATION
1.Norway vs Faroe island[emoji117]FT over 1.5(1.14 odds)
2.Finland vs Liechtenstein[emoji117]FT over 1.5(1.11odds)
[emoji666]EURO QUALIFICATION (U21)
(International youth European)
1.Albania vsEngland[emoji117]FTover1.5(1.13odds)
2.Austria vs Kosovo[emoji117]FT Over 1.5(1.16odds)
Total matches [emoji117]4
Total Odds [emoji117]1.66 odds
[emoji117] Akili ya kuambiwa changnya na yako
[emoji855]imeisha hyoo
[emoji855]TOTOAL EARNING THIS MORNING
ELFU 5600
Tips[emoji116][emoji116]
Leo; EURO QULIF.
MATCHES KARIBU ZOTE ZINATOA
FT OVER 1.5
ANGALIZO;
HIZI MATCH
[emoji117]Switzerland vs Georgia
[emoji117]ARMENIA vs GREEK
zinaweza kukuchania mkeka kwa over 1.5FT
[emoji855]zilozobaki we jichambulie odds tamu weka mkeka
wangu tayari
Imeisha hiyo
[emoji120]am sorryHebu acha kutokwa povu kwenye mambo ya kijinga!!!
Screenshot yako ya kwanza haijaonesha kama umebet!!!umetuma screenshot ya lineup ukiambatanisha na maneno uliyoandika tu!!mimi nimekuja kujibu ulichoandika!hayo masuala ya ulibet 4000 mimi siyajui
Sikujibu tena mana unaonekana una stress!!!
[emoji120]sawa mkuu samahaniHebu acha kutokwa povu kwenye mambo ya kijinga!!!
Screenshot yako ya kwanza haijaonesha kama umebet!!!umetuma screenshot ya lineup ukiambatanisha na maneno uliyoandika tu!!mimi nimekuja kujibu ulichoandika!hayo masuala ya ulibet 4000 mimi siyajui
Sikujibu tena mana unaonekana una stress!!!
Unamuuliza nani?Hivi kwann 1x bet haina options za kulipia localy kama zamani?
Taifa stars anakufa mapemaa Leo[emoji119] View attachment 1263859View attachment 1263862
lichawi hilo limefeli[emoji855] UMEONA KWENYE HIYO SCREENSHOT
KUNA MABOMU MAWILI YA MAANA SO STAY TUNE UONE NAKOJOAJE LEOView attachment 1263975
amekua mchawi tena? Mwenzio anatafuta hela unasema uchawi! Daah!lichawi hilo limefeli
THANKS MKUU[emoji120]lichawi hilo limefeli
amekua mchawi tena? Mwenzio anatafuta hela unasema uchawi! Daah!