SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,451
Kwangu imekubali mkuuInakubali kupokea pia Steve???
Kwangu imekubali mkuuInakubali kupokea pia Steve???
upuuzi tu, nimegundua leo hum kuna watu wana WIVU & ROHO MBAYA SANA.Jus Chill bro this AFRICA,
Master card ya Airtel inatoa hela 1xbet?Kwangu imekubali mkuu
Aliyefuata hizi odds 2 za over1.5. WON.Twende tena na hapa... over 1.5 kwa odds 2.View attachment 1263671
Vipi kwani mzee? Ilishawahi kukukatalia?Master card ya Airtel inatoa hela 1xbet?
Ndiyo, inadeposit tu ila kuwithdraw tiziVipi kwani mzee? Ilishawahi kukukatalia?
Aliyefuata tena na hapa. WON.Tumalizie na hapa, pia. View attachment 1263639
Mimi ilikubali. Majira ya usiku ndiyo huwa husumbua zaidi.Ndiyo, inadeposit tu ila kuwithdraw tizi
Dakika 20Hvi wadau Katika IcE hockey kipindi kimoja huwa na dakika ngap?
Dk 20Hvi wadau Katika IcE hockey kipindi kimoja huwa na dakika ngap?
Na hapa pia, WON.Twende hastehaste na hapa ..... subs huwa zinatoa mara nyingi kwa kuanzia kipindi cha pili. Cha kwanza ikitokea basi ni injuries.View attachment 1263636
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]BOOOOOOOOOOOOOOOOOOOM!!
MAPEMAAA KABISAAA AFU KIULAIIIIINIIIIIIIII
Kwanza; unaweza jiuliza why?? Leo sijatupia BOOM! za live(in play) betting, NA ukiangalia my previous screenshot utagundua kuna mikeka miwili ilikuw undecided bado
Jibu, sio kwamba nilikuwa sijabet nilikuw
nabeti na ile buku 9890 nlowin my last stake
nkweka humu Leo asubuh ilienda mpka Elfu
40000(nakumbuka nimeamka na buku 6800
hiv ya matches za usiku kuamkia Leo)
;
So Why nilikuw COOL????[emoji856]
Nilikuwa cool cause ya stake kubwa kubwa nlozokuwa nimeziweka naona zinaleta pesa kiulainii, so pressure ya live betting nkaona Leo nipumzike, kuna mda nilienda
chimbo kuchimbua odds za tips nije niwape
aisee[emoji23][emoji23] yani ndo nikastuka Leo NO LIVE BETTING kbsaa ikabidi nijikope laki moja 100000 niongezee nyama kwenye stake ntakazoweka
[emoji116][emoji116]
My 1st STAKE:
Amount; Elfu 30000 Won Elfu 70200
[emoji117]faida Elfu 40200
My 2nd STAKE:
Amount; Laki 154800 Won Laki 256813
[emoji117]Faida;Laki 102013
(Na huu mkeka niliushare kabisaa)
[emoji117]usisahau hiyo Elfu 54800 yote ni faida previous live betting ambz nimechza
[emoji666]Narudisha laki nlojikopa 100000
[emoji666]naiacha Elfu 30000 kwenye acc as initial amount
[emoji666]naiacha buku 5 kwenye acc as my Unbadget amount
[emoji666]Zilizobaki
Total Earning today (faida nloingiza Leo)
[emoji117]Laki 192000
[emoji117]and don't forget today is DAY 3 To my plan of atleast daily wining be Elfu 35000
Days 27 remain[emoji856]
[emoji855][emoji855]imeisha hiyo nimeingiza laki na 92000 pure faida
FEARLESS
View attachment 1264042View attachment 1264045
Euro mechi zimeisha na asubuh mapemaa[emoji855]TOTOAL EARNING THIS MORNING
ELFU 5600
Tips[emoji116][emoji116]
Leo; EURO QULIF.
MATCHES KARIBU ZOTE ZINATOA
FT OVER 1.5
ANGALIZO;
HIZI MATCH
[emoji117]Switzerland vs Georgia
[emoji117]ARMENIA vs GREEK
zinaweza kukuchania mkeka kwa over 1.5FT
[emoji855]zilozobaki we jichambulie odds tamu weka mkeka
wangu tayari
Imeisha hiyo
kwanini umpe guinea wakati inacheza na taifa lako kama si uchawi ni niniupuuzi tu, nimegundua leo hum kuna watu wana WIVU & ROHO MBAYA SANA.
Nashukuru mkuu na ndo nimejifunza nimekoma kujipendekeza na tips zangu otherwise wataishia kuona boomupuuzi tu, nimegundua leo hum kuna watu wana WIVU & ROHO MBAYA SANA.
Tumen boomNashukuru mkuu na ndo nimejifunza nimekoma kujipendekeza na tips zangu otherwise wataishia kuona boom
Huyu jamaa akili zake huwa haziko sawalichawi hilo limefeli