Mkuu[emoji120] samahan rejea my previous winning, karibu zote nilikuja na kuwapa tips strategy na reasing
Mfano.
Screenshot no 1[emoji116].
[emoji666]France vs Moldova
France alianza kupigwa goli ikabidi nizame nichmbue why kapgwa na ngumu kulirudsha?
Nkakuta Moldava kapiga line Up ya 5-3-2
.ndo nkjua why France analitafuta kwa tochi goli la kulevel matokeo ile 1half,na nkiongzea uzoefu vitimu vidogo vinapokuw ugenini vikibahatsha kagoli ka mapema vinakaza kichizi
Nkaja kuwapa tips
France vs moldova
wekeni 1half under 2.5(nkasema kama unaroho ngumu maana odd ilkuw juu)
But kama una roho nypes weka under 3.5
(Sure bet kabisa)
[emoji117]bado sitoi tips&strategy thnks[emoji120]
[emoji666]Screenshot no 2.[emoji116]
Jana Asubuhi na mapemaaaaa kabisaaa
Nkawaambia EURO QUAL. Match Zote zinatoa over 1.5 nikawapa onto nakusema
ANGALIZO: matches ya
Switzerland vs Georgia
Armenia vs Greek
.
Zinaweza kukuchania mkeka kwa over 1.5
So usiziweke ila match zote za Euro Qul. Kajichambulie odds tamu utupie mkeka
[emoji666]nakweli mambo yakaja nilivosema
Zote zimetk iskpokuw nlizosema.
3.screenshot no 3[emoji116]
[emoji666]kuna mkuu aliuliza swali kutaka kujua opt.
Ya WHO WIN THE REST???
nkamjbu kwa Maelezo na mifano
Na huo ni mfano tu maana nishajibu wengi
Pia kuna MTU aliuliza kutaka kupata live/betting strategy sio mmja au wawili wengne had pm nkawaelkeza fresh na humu nkawachambulia strategy zote za live betting
[emoji117]bado navimba thanks[emoji120]
[emoji666]Jana niliulizia sana line up ya taifa stars Mara 2 nkajireply ile comment ikae juu tena may be hamuioni
[emoji45]hakuna aliye nijibu
Mida kidogo nkawa nimepata line Up ya timu zote mbili
[emoji666]nikaja na tips ya kumuua stars
Nkaweka na line up kabsaa ya timu zote mbili
[emoji120]Nafurahi stars ilushinda, ila kuna watu walikuja na utaifa mbele nakuanza
kuniquotes shit! "Lichawai limeshindwa
hiloo" Mara "nikonajikojolea saivi after
loose"
[emoji666]kama mkamaria mzoefu
rule no 1.BET FOR YOUR HEAD ANALYS,NOT YOUR HEART(don't bet as fan)
ndo nilichokifata after my analysis nakweli sikuwa mbali na my Analysis
[emoji666]hakuna hataaa mmja alokuja kuniuliza why???? Nilimpa Guinea kwa buku 4, odds 5
[emoji117]bado navimba thanks[emoji120]
[emoji666]kuna watu huwa wanakuja PM niwape
tips za siku huyo na wengne my strategy
Wote niliwajibu ipasavyo(kama dangnya
kam sijawah kkjb njoo useme)
Mfano; kuna wawili usiku Jana waliniomba tips za kulaza mkeka nikawapa tena mkeka ambao nishaubet hela kubwa tu kuwaaminisha(sasa hivi tunacheka nao napoandika hivi)
Ila sijawahi mjibu yoyote anilipe wala cijui Nina whtsap group la tips kujiunga hela free & fair
[emoji666]bado najikweza[emoji120]
Kuhusu my PM nawahaid kuwapa ushirikiano tu wale walokuja before hii post
Mlobaki wallah sijbu [emoji735][emoji735][emoji735]
[emoji120]Naonekana sana najimwambafai basi tuishie kula boom tu
Au hizi emoj zinawachangny [emoji855][emoji53][emoji856][emoji23]
[emoji855]imeisha hiyo
View attachment 1264080View attachment 1264083View attachment 1264084