Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Betpawa nadhani wanafanyia maintenance website yao ndio maana inakua on/of
 
Wakuu parimatch huwa wanataka nn ili utoe pesa,

Nimejaribu kutoa 19,000/= pesa ikaingia bila tatizo tena ndani ya dakika mbili

ila nimetoa 160k mpaka sasa haijatoka na wanaanza kunidai vitambulisho so sad,

Wakuu mnaotoaga pesa ndefu parmatch kama weekend hivi huwa malipo yanasumbua hivi au inakuaje hapaa
 
50/50

Serie A

Stake what you can afford to lose
 
Kwa mnaotumia parimatch mlishawahi kuombwa namba ya account mpewe hela jmn


Au ndio matapeli kabisa hawa jamaa pesa yenyewe ya madafu 160k,

Wametaka vitambulisho nimewapa, uzuri vinaendana na majina ya tgo pesa na mpesa kama wanavotaka wao,

Naona wanaanza kunambia niwatumie namba ya account,

Hivi hawa mbwa parmatch hawawez kunipa hela yangu kwenye simu,

Hadi tuombana account namba
 
Wakuu nimetoa hela jana mchana betpawa mpaka sasa haijaingia kwenye simu yangu na simu zao hawapokei/zinakata nifanyeje?
 
We watumie wanachotaka mkuu
Utaumiza kichwa bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…