Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu aisee haya maisha yanahitaji ujasiri fulan ivi, nlishawah kuweka kama 15 kwene kilimo nkapata laki 8 sasa moyo huwa umekufa ganzi muda mwingine najilipua...usipotake chance hauji kupata, unatakiwa uwe jasiri,
Yeah, hio ni kitu sure bro! Tunahitaji ujasiri ili kuleta mabadiliko chanya katika kipindi chote cha maisha. Nahitaji sana kuambatana na majasiri katika safari ya kuelekea uchumi wa kati. Itakuwa jambo zuri tukienda sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…