Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

50/50

Stake what you can afford to lose View attachment 1274626
Mkuu Mayu kwanza nikupe hongera sana mzee mwenzangu
Jana nilitembea na tips zako zoote ume lost mmoja tu
Endelea na moyo huu kaka unasaidia wengi
Naona Void kapotea kidogo, endeleza jahazi mkuu
Nimeku PM mkuu nikupe hata ya vocha tu kama shukrani kaka
 
Ukiangalia makundi yote ya ueropa leo hakuna team iliyofuzi tayari,makundi mengi team tatu zina karibiana hii ina maanisha ule usemi wangu uerooa team nyingi avarage teams ukiandoa wachache kama sevilla ambaye ndo team yenye point kumi na mbili peke,ushauri wangu leo
1.ueropa direct win ni hatari sana team ukiangali mpaka kufika leo week 5 kuna matokeo ya kushangaza sana team kama porto inashika mkia,besiktas haina point hata moja,psv yuko nafasi ya 3 Wolfsburg 5 nyuma team kama gent
2.gg ni option nzuri sana,28+ ndo nyumbani kwake,corner ndo usiseme,kadi nyekundi huwa zina mwagika sana leo...leo ni usiku w
a options na magoli
3.leo team kubwa kama arsenal ,sevilla na man united wana nafasi kubwa sana ya kushinda !!stay tune tuanze kuleta mikeka
N:b europ ndo sehemu muhindi na mzungu huwa anarudisha peaa yake tuliyomla uefa stake wise mdogo mdogo najua manguli wanaelewa wakina mayu ,basiasi,void
 
Odds ya 6 hiyo imesimama
 

Attachments

  • Screenshot_20191128-113714_1574930510376.jpg
    Screenshot_20191128-113714_1574930510376.jpg
    37.4 KB · Views: 16
hao jamaa washapita kwe makundi yao bro so watakua wanatest mitambo tu
Arsenal anapoint 10,Frankfurt 6 ,standard 6,bado mechi mbili kama arsena anafungwa leo frankurt anakuwa na point 9 mechi inayo fuata yuko home,likewise tu standard naye akishinda atafikisha point 9
Sevilla ameshafuzu ila huwa hana masihara kwenye haya mashindano ndo maana ameashinda kila game,halafu kingine zaidi kila game ukishinda ni karibu 10b za kibongo wazungu hawataki masihara kwenye pesa
 
Mkuu Mayu kwanza nikupe hongera sana mzee mwenzangu
Jana nilitembea na tips zako zoote ume lost mmoja tu
Endelea na moyo huu kaka unasaidia wengi
Naona Void kapotea kidogo, endeleza jahazi mkuu
Nimeku PM mkuu nikupe hata ya vocha tu kama shukrani kaka
Mkuu am glad to hear that
Hapa lengo ni kuwashinda bookies hiyo ya vocha we ongeza kwenye stake maana Itakua kama tunauzia odd sasa
Pamoja sana mkuu
 
Back
Top Bottom