Leo mambo yameenda kama yalivyopangwaMuda wa kufunga mahesabu sasa
View attachment 1274765jamny maelekezo hapa mimi sijaelewa kiukwel
Mzee baba ungeweka full time draw hapo ungekula lkn umeweka draw ndani ya dk 61-75 wakati matokeo sio draw kwa dk izo ni 1-0View attachment 1274765jamny maelekezo hapa mimi sijaelewa kiukwel
Anhaaa hapo nimekuelewa shukran aiseeKuanzia dakika ya 61-75 ya mchezo ngoma iwe draw sasa ukiangalia matokeo liver kapata goal ndani ya kipindi dakika 65, hivyo matokeo kuwa 1-0 katika hicho kipindi
Bet won