Mzee mwenzangu! Upo?Sare zipo mkuu ndio maana kuna overtime
tuone ticket mkuu, sio kuleta maneno tu
Nimeshindwa namna ya kushare link hapa.Nikumbuke katika UFALME wako mzee baba
Sibishanagi na wajinga jinga mimi.unataga ligi tena,umekejeli hiyo droo ya psg na madrid ,imetoa,bado unataka tiketi..dumb fool na nusu wewe[emoji867]tuone ticket mkuu, sio kuleta maneno tu
Si vibaya ukishare hata screenshot.Nimeshindwa namna ya kushare link hapa.
Ikitiki nakukumbuka mzee baba.
Mkuu ukileta treni unitag kabisaTutengenezeni treni jingine LA tarehe 30-na trh 1
hahahahaOdd 2,6 ni ndogo mkuu?
Mi ndio odd zangu hizo 2+
Mambo ya odd mlima siyawezi
PITIENI hapa mkiedit mnipm link
Bet Small, Win BIG | Online Sports Betting | betPawa
www.betpawa.co.tz
Hawa makanji na warusi kama uchawi.
timu itakayopewa saaana sijui wanafanyaje wanahakikisha option zilizochezwa saana hazitoi.
mf. % kubwa jana city win & over ilitawala.
Sasa leo kati ya liver na barca option option itakayopewa saana haitoi.
utashanga wa home wan win 1-0.
Bet is funny business to win lazima uishinde nguvu ya tamaa iliyomo ndani mwako.
unahitqji muda na stakes za kutosha.
Tunaendeleza jahazi
Genk vs Salzburg 2.5 overAny team mkuu nahitaji just 3 odds nina laki 3
Liverpool at Anfied is a monsterKila nikijaribu kumpa Liverpool direct win
Nasikia sauti nyingine ambayo siioni inasema "achana nae atakuharibia siku huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
Mpaka hapa nasita kumpa liverpool direct win, bora hata double chance
Leo Hata mm Liverpool yangu inaninyima uhuru wa kustakeKila nikijaribu kumpa Liverpool direct win
Nasikia sauti nyingine ambayo siioni inasema "achana nae atakuharibia siku huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
Mpaka hapa nasita kumpa liverpool direct win, bora hata double chance