Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

kaka wanazinguaga sana nliweka hela juz imegoma na leo nimeweka hela haijaja hadi now, Ila me huwa naenda insta naDM jamaa anasema nimtumie msg ya transaction natuma alafu wananiwekea hela ila kuna kadelay fulan, hawa wapuuz wanachelewa sana kuweka hela, Leo ilibidi niende shop kuweka hela kule huwa inaingia moja kwa moja ila changamoto ni kuitoa mpaka utumie shop...
Masta we ni shida 🤣🤣🤣
 
Wakuu najaribu kutoa betpawa naletewa huu ujumbe
Screenshot_20191127-032159~2.jpeg


Msaada wakuu
 
Ila nilichogundua mpira ni mgumu kuliko basket kwenye basket sijawahi kupigwa mikeka mitatu mfululizo ila kwenye mpira ni kawaida sana hiyo
 
Wakuu tusaidiane mi nilibeti tu kujaribu volleyball ila mkeka ukatiki kipesa cha vocha sasa sijajua hata hizo under nilizoweka zimepatikanaje maana kila nikipiga hesabu sielewi hapo mwenye uelewa tusaidianeView attachment 1273271
Hio under si ni kwa seti 1 mkuu, mfano ukiweka under 46.5 ambayo ni kama 47 tu utalinganisha na matokeo ya seti. Mfano set ya kwanza wakatoa 23:20 utajumlisha 23+20=43!

Kama ulibashiri matokeo kuwa chini ya 46.5~47 na seti imetoka 43 hapo amna namna lazma upewe chako tu 🤣🤣🤣 maana unakuwa umepatia.
 
Back
Top Bottom