Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kubeti noma yaa nimetengeneza mikeka kumi ya double chance kwenye mpira nikijua piga uwa mitano itatiki itakuwa imerudisha hela na was sita ukitiki ni faida huwezi amino yote imeungua
Shida umerudia rudia timu meko! 🤣🤣🤣 sikuingine hakikisha urudi bet type moja kwenye mikeka tofauti.
 
PITIENI hapa mkiedit mnipm link
Mkubwa mi hapo kuna baadhi nmepunguza total, Zenit, Blackburn, Middlesborough na QPR nmewapa over 1.5 nyingine over 2.5 vilevile.

Zile game za china nmebadili kutoka GG na kuweka magoli,
Chongqing, Shandong, Shanghai, Shenzhen na Tianjin nmewapa over 1.5.
Then Beijing renhe, Guangzhou na Hebei nkawapa over 2.5.
Sema mzigo wa odds ukashuka balaa
 
Nikumbuke katika UFALME wako mzee baba
 
Back
Top Bottom