toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Aisee nilisahau kuweka hii kitu,
DONT TRY THIS AT HOME, Gamble Responsibly............
Mkuu leo ume deposit kwenye account yako ya meridian?? Hawakuzingua ilichukua mda gani pesa ku displayAisee nilisahau kuweka hii kitu, View attachment 1272777 DONT TRY THIS AT HOME, Gamble Responsibly............
Mkuu leo ume deposit kwenye account yako ya meridian?? Hawakuzingua ilichukua mda gani pesa ku display
pole sana aisee,.ila usisahau kushare na sisi mkuuMimi ni fala kabisa. 4M nimeikosa kizembe hivi. Sitaki kupanic nisije bet leo kwa pressure nipewe za uso. Sitengenezi behewa, naweka game 5 tu (odds 3-5)natia mpunga wa kutosha. Nahitaji kua serious na hii biashara
Hel hiyo hiyo inatumikaWakuu nikiweka hela kwenye airtel money kwa wakala hiyo hiyo si ndio inatumika kwenye airtel money master card au kuna njia nyingne ya kuweka hela uko
Pamoja Sana mkuuLampanda halina kanuni!!
linaondoka leo tarehe 25/11/2019 , mungu akijaalia linafika tarehe 30/11/2019.
I can win 36K TZS at betpawa.co.tz, join now and win with me!
Bet Small, Win BIG | Online Sports Betting | betPawa
www.betpawa.co.tz
TAG|
Pain killer hajikagoro Junior mafia Shark moj6 soka255 @emperior of the south
Daaa aisee hii ndio inaitwa kujilipuaAisee nilisahau kuweka hii kitu, View attachment 1272777 DONT TRY THIS AT HOME, Gamble Responsibly............
Heshima zako mwambaAisee nilisahau kuweka hii kitu, View attachment 1272777 DONT TRY THIS AT HOME, Gamble Responsibly............
Nilikua nataka nitumie meridian kumbe ndiyo wana tatizo hili?kaka wanazinguaga sana nliweka hela juz imegoma na leo nimeweka hela haijaja hadi now, Ila me huwa naenda insta naDM jamaa anasema nimtumie msg ya transaction natuma alafu wananiwekea hela ila kuna kadelay fulan, hawa wapuuz wanachelewa sana kuweka hela, Leo ilibidi niende shop kuweka hela kule huwa inaingia moja kwa moja ila changamoto ni kuitoa mpaka utumie shop...
AiseeeGame leo zimekaa hovyo sana, save ur stake kwaajili ya uefa league kesho
50/50
Stake what you can afford to lose View attachment 1272559
Nilikufuata mkuu
Baada ya vipigo kuzidi kwenye soka nikatake my time kuichunguza ice hockey nikagundua hainaga sare, ni lazima mtu apigwe hivyo ni kucheza double chance ya ashinde yeyote, nimeona odds zao hio option zinaanzia 1.22 hadi 1.26, hivyo unakusanya timu zako hata nne kwa option hiyo kisha unatia hata 50k unalala na kuamka tajiri bila presha kama za futbol. Nimeitest hii mbinu mara tatu nakula tu kwa odds mbili mbili, usirundike matimu mengi wenyewe mnaita matreni, weka timu nne tu unapata odds 2 unatia mzigo. Inakufuta machozi ya futbal. VIPIGO VIKIZIDI TUNAGUNDUA MBINU MPYA, TUSING'ANG'ANIE FUTBOL. Kwa mfano mimi leo uefa siigusi kabisaaa nasubiri pesa tu za double chance ya ice hockey. Nimejaribu kushea nanyi tupige pesa tuwashinde wanaoshinda dukani huku wakitudiss tunaobet eti tunapoteza muda. HAYA PESA HIYOOOO
Kuna ligi ya USA inaitwa NHL na nyingine ni KHL ya urusi kuna za Finland huko pia. Siyo mtaalam sana wa ice hockey ila kwa option hiyo ni uhakikaaa 98% hamnaga sareeeLig gan ndo ipo fresh kweny hyo ice hockey
Baada ya vipigo kuzidi kwenye soka nikatake my time kuichunguza ice hockey nikagundua hainaga sare, ni lazima mtu apigwe hivyo ni kucheza double chance ya ashinde yeyote, nimeona odds zao hio option zinaanzia 1.22 hadi 1.26, hivyo unakusanya timu zako hata nne kwa option hiyo kisha unatia hata 50k unalala na kuamka tajiri bila presha kama za futbol. Nimeitest hii mbinu mara tatu nakula tu kwa odds mbili mbili, usirundike matimu mengi wenyewe mnaita matreni, weka timu nne tu unapata odds 2 unatia mzigo. Inakufuta machozi ya futbal. VIPIGO VIKIZIDI TUNAGUNDUA MBINU MPYA, TUSING'ANG'ANIE FUTBOL. Kwa mfano mimi leo uefa siigusi kabisaaa nasubiri pesa tu za double chance ya ice hockey. Nimejaribu kushea nanyi tupige pesa tuwashinde wanaoshinda dukani huku wakitudiss tunaobet eti tunapoteza muda. HAYA PESA HIYOOOO
Na handball & kwa kias chake volleyball pia iko vizuri, kuna siku Mtoto wa nzi alielezea kdg nikawa serius!Baada ya vipigo kuzidi kwenye soka nikatake my time kuichunguza ice hockey nikagundua hainaga sare, ni lazima mtu apigwe hivyo ni kucheza double chance ya ashinde yeyote, nimeona odds zao hio option zinaanzia 1.22 hadi 1.26, hivyo unakusanya timu zako hata nne kwa option hiyo kisha unatia hata 50k unalala na kuamka tajiri bila presha kama za futbol. Nimeitest hii mbinu mara tatu nakula tu kwa odds mbili mbili, usirundike matimu mengi wenyewe mnaita matreni, weka timu nne tu unapata odds 2 unatia mzigo. Inakufuta machozi ya futbal. VIPIGO VIKIZIDI TUNAGUNDUA MBINU MPYA, TUSING'ANG'ANIE FUTBOL. Kwa mfano mimi leo uefa siigusi kabisaaa nasubiri pesa tu za double chance ya ice hockey. Nimejaribu kushea nanyi tupige pesa tuwashinde wanaoshinda dukani huku wakitudiss tunaobet eti tunapoteza muda. HAYA PESA HIYOOOO
Handball probability ya kutotoa sare ni kubwa zaidi..hlf kwa winning rate, volleyball na handball ni nzuri pia kulinganisha na michezo mingn!Sare zipo mkuu ndio maana kuna overtime