The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,510
kampuni karibu (99.99%) zote za betting zina double chanceMkuu kampuni gani yenye option ya double chance
kampuni karibu (99.99%) zote za betting zina double chanceMkuu kampuni gani yenye option ya double chance
Ikiishaenda Overtime tu, hiyo tayari ni sareNimekusoma vema, ukiweka 12 ashinde yeyote na wakaenda mpaka overtime mshindi akapatikana si unakula pesa?
Mechi yeyote ikienda Overtime inamaanisha wamemaliza dakika za kawaida wakiwa draw hakuna mshindiMimi naizungumzia ile ya 12 ashinde yeyote
Sidhani kama wanahesabia Overtime...!! Kama mechi za mpira wa miguu tu ila ngoja waje wataalamu
Yeah, maana ukiweka ashinde yeyote na ikawa imeisha dakika 60 kwa sale inakuwa imelost, ni dakika 60 tu zinahusika kwenye hiyo Double Chance optionSawa lakini je unakuwa umeliwa mkeka au???
Mkuu mbona unanitukana kwani in kosa kuuliza kampuni unayotumia kubeti ice hockey mi natumia kampuni ya sportpesa hakuna hiyo option ya double chance kwenye ice hockey hukuwa na sababu ya kunituni unageniambia tu kampuni ila sio mbayaKichwa chako
Mkuu mbona unanitukana kwani in kosa kuuliza kampuni unayotumia kubeti ice hockey mi natumia kampuni ya sportpesa hakuna hiyo option ya double chance kwenye ice hockey hukuwa na sababu ya kunituni unageniambia tu kampuni ila sio mbaya
usjipe uhakika sana mkuu maana hata kwenye Ice hockey kuna sare pia..Baada ya vipigo kuzidi kwenye soka nikatake my time kuichunguza ice hockey nikagundua hainaga sare, ni lazima mtu apigwe hivyo ni kucheza double chance ya ashinde yeyote, nimeona odds zao hio option zinaanzia 1.22 hadi 1.26, hivyo unakusanya timu zako hata nne kwa option hiyo kisha unatia hata 50k unalala na kuamka tajiri bila presha kama za futbol. Nimeitest hii mbinu mara tatu nakula tu kwa odds mbili mbili, usirundike matimu mengi wenyewe mnaita matreni, weka timu nne tu unapata odds 2 unatia mzigo. Inakufuta machozi ya futbal. VIPIGO VIKIZIDI TUNAGUNDUA MBINU MPYA, TUSING'ANG'ANIE FUTBOL. Kwa mfano mimi leo uefa siigusi kabisaaa nasubiri pesa tu za double chance ya ice hockey. Nimejaribu kushea nanyi tupige pesa tuwashinde wanaoshinda dukani huku wakitudiss tunaobet eti tunapoteza muda. HAYA PESA HIYOOOO
umekosajeMimi ni fala kabisa. 4M nimeikosa kizembe hivi. Sitaki kupanic nisije bet leo kwa pressure nipewe za uso. Sitengenezi behewa, naweka game 5 tu (odds 3-5)natia mpunga wa kutosha. Nahitaji kua serious na hii biashara
Nimekusoma vema, ukiweka 12 ashinde yeyote na wakaenda mpaka overtime mshindi akapatikana si unakula pesa?
huyo sungusungu kachanganyikiwa jamaniMkuu mbona unanitukana kwani in kosa kuuliza kampuni unayotumia kubeti ice hockey mi natumia kampuni ya sportpesa hakuna hiyo option ya double chance kwenye ice hockey hukuwa na sababu ya kunituni unageniambia tu kampuni ila sio mbaya
Chagua chache pita nazo.
Sasa si asaidiwe afike milembe, apate Tiba sahihi.... Huku atachizika zaidihuyo sungusungu kachanganyikiwa jamani
Naaam, Chakula kimeiva. View attachment 1272746
Nimerud meridinaUngekuwa unatumia kampuni ya ku turbo au cash out ungepiga ka 4m