Baada ya vipigo kuzidi kwenye soka nikatake my time kuichunguza ice hockey nikagundua hainaga sare, ni lazima mtu apigwe hivyo ni kucheza double chance ya ashinde yeyote, nimeona odds zao hio option zinaanzia 1.22 hadi 1.26, hivyo unakusanya timu zako hata nne kwa option hiyo kisha unatia hata 50k unalala na kuamka tajiri bila presha kama za futbol. Nimeitest hii mbinu mara tatu nakula tu kwa odds mbili mbili, usirundike matimu mengi wenyewe mnaita matreni, weka timu nne tu unapata odds 2 unatia mzigo. Inakufuta machozi ya futbal. VIPIGO VIKIZIDI TUNAGUNDUA MBINU MPYA, TUSING'ANG'ANIE FUTBOL. Kwa mfano mimi leo uefa siigusi kabisaaa nasubiri pesa tu za double chance ya ice hockey. Nimejaribu kushea nanyi tupige pesa tuwashinde wanaoshinda dukani huku wakitudiss tunaobet eti tunapoteza muda. HAYA PESA HIYOOOO