Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Kumbuka Kuna ushindi wa regular time na over timeBaada ya vipigo kuzidi kwenye soka nikatake my time kuichunguza ice hockey nikagundua hainaga sare, ni lazima mtu apigwe hivyo ni kucheza double chance ya ashinde yeyote, nimeona odds zao hio option zinaanzia 1.22 hadi 1.26, hivyo unakusanya timu zako hata nne kwa option hiyo kisha unatia hata 50k unalala na kuamka tajiri bila presha kama za futbol. Nimeitest hii mbinu mara tatu nakula tu kwa odds mbili mbili, usirundike matimu mengi wenyewe mnaita matreni, weka timu nne tu unapata odds 2 unatia mzigo. Inakufuta machozi ya futbal. VIPIGO VIKIZIDI TUNAGUNDUA MBINU MPYA, TUSING'ANG'ANIE FUTBOL. Kwa mfano mimi leo uefa siigusi kabisaaa nasubiri pesa tu za double chance ya ice hockey. Nimejaribu kushea nanyi tupige pesa tuwashinde wanaoshinda dukani huku wakitudiss tunaobet eti tunapoteza muda. HAYA PESA HIYOOOO
Huyu Atalanta Leo anaweza aka mwaga mbogaKwa leo inatosha
Baada ya vipigo kuzidi kwenye soka nikatake my time kuichunguza ice hockey nikagundua hainaga sare, ni lazima mtu apigwe hivyo ni kucheza double chance ya ashinde yeyote, nimeona odds zao hio option zinaanzia 1.22 hadi 1.26, hivyo unakusanya timu zako hata nne kwa option hiyo kisha unatia hata 50k unalala na kuamka tajiri bila presha kama za futbol. Nimeitest hii mbinu mara tatu nakula tu kwa odds mbili mbili, usirundike matimu mengi wenyewe mnaita matreni, weka timu nne tu unapata odds 2 unatia mzigo. Inakufuta machozi ya futbal. VIPIGO VIKIZIDI TUNAGUNDUA MBINU MPYA, TUSING'ANG'ANIE FUTBOL. Kwa mfano mimi leo uefa siigusi kabisaaa nasubiri pesa tu za double chance ya ice hockey. Nimejaribu kushea nanyi tupige pesa tuwashinde wanaoshinda dukani huku wakitudiss tunaobet eti tunapoteza muda. HAYA PESA HIYOOOO
Game itakwenda over time kwasababu kwenye regular time wametoka drawNimekusoma vema, ukiweka 12 ashinde yeyote na wakaenda mpaka overtime mshindi akapatikana si unakula pesa?
Na Vodacom nako unaperuzi sportpesa free bila dataNawakumbusha tu wakamali wenzangu kama huna bando la kubetia pasi kupitia SPOTTPESA APP unaweza kutoa mikeka bila kuwa na bando so kazi kwenu wadau.
Kwenye mechi ya kwanza Set ya kwanza Ina 20:25 ukijumlisha hapo unapata 45 na we ulichagua under 46.5Wakuu tusaidiane mi nilibeti tu kujaribu volleyball ila mkeka ukatiki kipesa cha vocha sasa sijajua hata hizo under nilizoweka zimepatikanaje maana kila nikipiga hesabu sielewi hapo mwenye uelewa tusaidianeView attachment 1273271
20+25=45 wewe uliweka under 26Wakuu tusaidiane mi nilibeti tu kujaribu volleyball ila mkeka ukatiki kipesa cha vocha sasa sijajua hata hizo under nilizoweka zimepatikanaje maana kila nikipiga hesabu sielewi hapo mwenye uelewa tusaidianeView attachment 1273271
kusema Kichwa chako hapo amekutukana? Je hauna kichwa?Mkuu mbona unanitukana kwani in kosa kuuliza kampuni unayotumia kubeti ice hockey mi natumia kampuni ya sportpesa hakuna hiyo option ya double chance kwenye ice hockey hukuwa na sababu ya kunituni unageniambia tu kampuni ila sio mbaya
Kamanda MTU ukiuliza kampuni ya kubeti mtu akakujibu kichwa chako hapo amekufanyaje kwa uelewa wakokusema Kichwa chako hapo amekutukana? Je hauna kichwa?
Kwenye mechi ya kwanza Set ya kwanza Ina 20:25 ukijumlisha hapo unapata 45 na we ulichagua under 46.5
Ya pili set ya kwanza imetoa 19:25, ukijumlisha unapata 44 ambayo iko chini ya 46.5
Kwamba utumie akili zako kuingia Google kuperuziKamanda MTU ukiuliza kampuni ya kubeti mtu akakujibu kichwa chako hapo amekufanyaje kwa uelewa wako